Msaada: Nawezaje kusoma vitabu online na nawezaje kupiga copy ya vitabu baada ya kusoma?

FAHAD KING

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
301
373
Habari wana JF,

Japo ukubwa wa kichwa si ujazo wa maarifa na wingi wa maarifa tunatofautiana sasa nimeona nisijifanye mjanja sana kwa hili baada ya kunishinda.

Nimekuwa msomaji mzuri wa vitabu vya kununua lakini nikapata wazo la kusoma vingine vingi mtandaoni yaani online sasa pamoja na ujanja wangu wote nimeshindwa asee kujua jinsi ya kusomea online.

Kama kuna mtu anaweza nisaidia tafadhari naomba msaada wako asee kwangu nimefurukuta nimeshindwa.
 
Download app inaitwa Adobe acrobat then install it..after that unasearch kitabu chochote na kukidownload as PDF kwa kutumia hio app unaweza kukisoma bila shida yoyote
 
Back
Top Bottom