Tanesco tangazeni kuanza mgawo wa umeme

Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,302
2,000
Kwa siku takriban nne wakazi wa Kigamboni wamekuwa wakikatiwa umeme kwa utaratibu maalumu ambao haujatangazwa.

Kwa siku mbili jana usiku na juzi kati, umeme umekuwa ukikatika kati ya saa 1 na 2 na kurudishwa saa 6 au 7 usiku. Leo 05 Jan.2018 na juzi umeme ulikatwa kati ya saa 2 asubuhi na 4 asubuhi na kurejeshwa kati ya saa 1 na 2 kasoro za usiku.

Kisheria Tanesco wanapaswa kutoa taarifa iwapo wanatazamia kukata umeme kwa sababu yoyote lkn hata sasa hawajatoa taarifa yoyote kuhusu tatizo hilo na tumeanza kuamini kuwa kuna mgawo wa umeme. Nawaomba Tanesco muwe wakweli kwa wateja wenu maana tunachoshuhudia sasa ni kudorora kwa huduma za Tanesco tangu kuondoka kwa aliyekuwa CEO wa Tanesco, Falcheshmi Mramba.

Tanesco mtutendee haki wateja wenu.
 
Titans

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,459
2,000
Wangetangaza iwapo angekuwa yule bingwa wa miamba aliyeliwa kichwa.
 
MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
685
1,000
Mpaka muda huu Pugu tuko gizani wameuchukua SAA mbili kasoro moja. Taarifa za habari za runinga Leo hatujaziona
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,590
2,000
Kwa siku takriban nne wakazi wa Kigamboni wamekuwa wakikatiwa umeme kwa utaratibu maalumu ambao haujatangazwa.

Kwa siku mbili jana usiku na juzi kati, umeme umekuwa ukikatika kati ya saa 1 na 2 na kurudishwa saa 6 au 7 usiku. Leo 05 Jan.2018 na juzi umeme ulikatwa kati ya saa 2 asubuhi na 4 asubuhi na kurejeshwa kati ya saa 1 na 2 kasoro za usiku.

Kisheria Tanesco wanapaswa kutoa taarifa iwapo wanatazamia kukata umeme kwa sababu yoyote lkn hata sasa hawajatoa taarifa yoyote kuhusu tatizo hilo na tumeanza kuamini kuwa kuna mgawo wa umeme. Nawaomba Tanesco muwe wakweli kwa wateja wenu maana tunachoshuhudia sasa ni kudorora kwa huduma za Tanesco tangu kuondoka kwa aliyekuwa CEO wa Tanesco, Falcheshmi Mramba.

Tanesco mtutendee haki wateja wenu.
Acha uongo, tatizo la watanzania ni kila kitu bora jana hata kama sio ukweli, tokea Mramba yupo, tanesco ni full madudu.
 
G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,113
2,000
Acha uongImekuwahe, tatizo la watanzania ni kila kitu bora jana hata kama sio ukweli, tokea Mramba yupo, tanesco ni full madudu.
Si alisemaga [HASHTAG]#KatikaUtawaraWanguUkateUmemeUnakatikaNaHuoUmeme[/HASHTAG]..Imekuaje tena!
 
WILLIAM MARCONI

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
2,056
2,000
Kwa siku takriban nne wakazi wa Kigamboni wamekuwa wakikatiwa umeme kwa utaratibu maalumu ambao haujatangazwa.

Kwa siku mbili jana usiku na juzi kati, umeme umekuwa ukikatika kati ya saa 1 na 2 na kurudishwa saa 6 au 7 usiku. Leo 05 Jan.2018 na juzi umeme ulikatwa kati ya saa 2 asubuhi na 4 asubuhi na kurejeshwa kati ya saa 1 na 2 kasoro za usiku.

Kisheria Tanesco wanapaswa kutoa taarifa iwapo wanatazamia kukata umeme kwa sababu yoyote lkn hata sasa hawajatoa taarifa yoyote kuhusu tatizo hilo na tumeanza kuamini kuwa kuna mgawo wa umeme. Nawaomba Tanesco muwe wakweli kwa wateja wenu maana tunachoshuhudia sasa ni kudorora kwa huduma za Tanesco tangu kuondoka kwa aliyekuwa CEO wa Tanesco, Falcheshmi Mramba.

Tanesco mtutendee haki wateja wenu.
Kamanda ni bora TANESCO uwape heshima yao wanafanya kazi under impossible odds. Nyie kila wakitaka kujikwamua mnawashitaki kwa wafadhili eti serkali dhalimu mnadiriki hadi kutusaliti kwa maadui wakamate ndege zetu. Walau Lowassa alisaidia Nchi akaleta Dowans sasa inazalisha umeme mzuri wa Mama Clinton, Lowassa ni mthubutu. Nyie kulaumu tu.
 
Vyamavingi

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
5,302
2,000
Wangetangaza iwapo angekuwa yule bingwa wa miamba aliyeliwa kichwa.
Yaani pamoja na tusiyojua kuhusu mtaalamu wa miamba, alifanikiwa kuwafanya Tanesco wawajibike kuliko ilivyo sasa, yaani siku hizi Tanesco wanajiamulia tu kukata umeme, wateja hatutaarifiwi kana kwamba tunatendewa fadhila.

Vv
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom