Ubungo mpaka kimara ni giza tororo.Naona kuna kukatika umeme hasa ikifika jioni. Je, ni mgao pasipo kutaarifiana? Sasa hivi Tabata hakuna umeme na jana vile vile katika muda ule ule. Tiambiane ukweli.
Na mvua zikinyesha tope linajaa hivo tatizo linakua pale paleMaji hakuna kwenye mkondo wa taifa
Leo tatizo hakuna naangalia shilawadu teteheheNawaza kwa sauti hivi haijatokea bado teknolojia ya umeme wa wireless kama simu za mkononi ili ikitokea mtaa huu hauna umeme mafundi wanaurusha kutoka mtaa mwingine wenye umeme kwa wakati huo. It sounds crazy but time will tell.
Ndio maelekezo waliyopewa wakitangaza itaonekana serikali ya Mheshimiwa sana haifanyi kazi.Tatizo hawasemi kama kuna issue. Au wakisema watatumbuliwa? Hata wakiacha kusema kama ni kutokana na uzembe wapigwe tu.
Unawazo Zuri lifanyie kazi...Nawaza kwa sauti hivi haijatokea bado teknolojia ya umeme wa wireless kama simu za mkononi ili ikitokea mtaa huu hauna umeme mafundi wanaurusha kutoka mtaa mwingine wenye umeme kwa wakati huo. It sounds crazy but time will tell.
Naona kuna kukatika umeme hasa ikifika jioni. Je, ni mgao pasipo kutaarifiana? Sasa hivi Tabata hakuna umeme na jana vile vile katika muda ule ule. Tiambiane ukweli.