Haya magazeti vipi lipi tuliamini.

Haya magazeti vipi lipi tuliamini.

idawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
25,306
Reaction score
38,510
184eb4213690321e7a1b41bb8ab2020d.jpg

0b8e75cfb28b4793e21875f403d1cf35.jpg
 
Waandishi makanjanja.

Nikiwa mtoto nilikuwa najua waandishi wa habari ni watu wanaojua sana vitu pia ni waadirifu kama viongozi wa dini kumbe hakuna kitu...!!
 
Waandishi makanjanja.

Nikiwa mtoto nilikuwa najua waandishi wa habari ni watu wanaojua sana vitu pia ni waadirifu kama viongozi wa dini kumbe hakuna kitu...!!
Sijui kwa nini wanaandika habari bila kujiridhisha.
 
Kuna mmoja hapo ni muandishi wa habari na mwingine ni mwandishi wa gazeti,ukimchambua tu utapata jibu yupi alipatia habari na yupi alikosea
 
Back
Top Bottom