Kama unabishia hakuna mtoto haramu..kwanini tunafunga ndoa?

Shii!!! Sitacoment hata neno moja hapa , hata haya maneno naomba msiyaone. Myapite kimya kimya
 
Mtoto ambaye baba amemkiri (Amekubari kuwa ni mwanae) hata kama alipatikana nje ya ndoa anamiliki haki sawa na mtoto wa ndani ya ndoa (rejea zaadul maad ya ibnu Al qayyim mjaladi wa 5) na qauli anayonasibishwa nayo imamu shafii kuwa mtoto wa nje ya ndoa kama ni binti yafaa kumuoa ni qauli baatwil na wala si kauli ya imamu shafii
 
Hayo ni mafundisho ya ahmadiyya...km kawaida yenu kupotosha mambo.
 
Ndoa ni Ufala ulioletwa na wahuni huko nyuma baada ya kuona madem wanalia sana kwa kupigwa mashine na kuachwa
 
Kwanza mtoa mada nikupe pole kwa kutokujua mtoto haram anapatikanaje au anakuaje.
Pili nikufamishe kuhusiana na hili ili usiwe na mawazo mgando.

Mtoto aliezaliwa nje ya ndoa haitwi haram bali anaitwa mtoto wa zinaa.
Mtoto wa haram anapatikana pale tu mama mtoto anapokua na uja uzito ili hali ana baba yake mzazi. Lakini wakati huo baba huyo akitoka kwenda kutafuta riziki hatafuti ya halali bali ya haram.
Anaporudi nyumbani kwake kile alichokipata kwa njia ya haram ndo kinapikwa nyumbani na kinaenda tumboni kwa mama.
Pindi mtoto atakapozaliwa ndo linapatikana neno haram na kwa dunia hii ya leo naamini kuna watoto wa haram wengi kuliko wa zinaa. Usishangae mimi na wewe tukawa wa haram nafikiri umenielewa, kama hujaelewa uliza uliza ambapo haujaelewa.
 
Mhhhhhh makubwa, binadamu AMBAYE kazaliwa Kama wewe ulivyozaliwa umwite haramu kana kwamba unafahamu alikotokea. Mungu atusamehe bure, Mengine tumwachie Mungu tu mengine ni mafumbo makubwa Sana sisi kama binadamu hatuyajui kabisa.
 
Back
Top Bottom