Hbr wana jf
Kuna tatizo la mtu ukiwa unaenda tibiwa na ukawa unatumia kadi ya bima ya Afya kusainishwa karatasi bila ya kuandikiwa gharama zinazokukabili au huduma ulizofanyiwa
Huwa najiuliza vipi wakiniandikia nitumia mililion wakati nimetumia elfu 10 ?vp nikiandikiwa nimefanya full bld picture wakati nimepima malaria tu ?
Hapa naona kuna sintofahamu na kwann ni baadhi tu ya hosp ndo wamekuwa na uzushi huu nyingine hazina?