Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia.
Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto nane lakini unakuta watu wanaamua kuzaa...
Heshima sana wanajamvi.
Baada ya kuboronga katika hukumu zake kiasi hata mimi fundimchundo nilifahamu na kuelewa kwamba huyu Mwanga Mzanzibar uchwara hana sifa za ujaji.
Kwakuwa mamlaka ya...
Tuseme tu ukweli hakujawahi kuwa na tatizo la kazi au ajira, isipokuwa kuna tatizo la kukosekana kwa kazi rahisi , au kazi zenye hadhi tunayotaka ,, kiukweli kazi za kupima matokeo nikazi ngumu...
Hivi karibuni kumeibuka wimbi jipya la kitapeli ambalo limeacha mamia ya Watanzania wakilia na kusaga meno. Ukiwa unaperuzi Facebook, unakutana na tangazo lenye mvuto wa kipekee: Ukurasa wa "Dar...
Nimejitahidi kila mbinu kuwa mwana intelligence buila mafanikio tiss kuna nn
Uzi za watu wengi JamiiForum unapotosha eti kuwa TISS (usalama wa taifa) uwe na kadi ya CCM au mwana CCM au green...
Kwanini Kaunda Suti lisiwe vazi la taifa?
Ilikuwaje kuwaje vazi la kaunda suti kuanza kutumika tanzania?
Kwanini limekuwa maarufu kwa viongozi hasa wabunge?
Kwanini sehemu kama chuo cha CFR...
Tanzania imeshuka katika viwango vya uhuru wa habari kwa mwaka 2025, hali ambayo imeelezwa kuwa inatokana na matukio mbalimbali yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu.
Akizungumza...
Mgogoro mkubwa umeibuka katika jengo la biashara la Manyara Safari Lodge – Heritage Camp Lodge lililopo wilayani Karatu, mkoani Arusha, baada ya mwekezaji wa kigeni na mmiliki mwenza wa eneo hilo...
SONGWE: Tanzania imeanza rasmi Safari Mpya ya Kihistoria ikiingia kwenye ramani ya dunia kama Mzalishaji na Msambazaji wa kimkakati wa Gesi ya Helium. Hatua hiyo inafuatia baada ya kusainiwa kwa...
Kesho ndio siku ya mwisho kwa Zambia kukubali dili la Trump la kutoa madini yao kwa US ili waendelee kupata msaada wa dawa za UKIMWI. Zambia ina waathirika zaidi ya milioni moja.
Theluthi mbili...
Enzi zetu mtu akiwa na VIDOLE BAPA anaitwa MAGUSU.
Kumbe hatukujua hao watu wana ukoma.
Baada ya kupitia misuko suko mingi nikajikuta vidole vyangu vinazidi kuwa bapa.
Sijui nimerogwa? Vidole...
Katika video hii, mchambuzi anajaribu kutumia tukio la Neil Armstrong kukataa kushika Biblia na kuapa kama ushahidi wenye mashiko kwamba kutua mwezini (Moon Landing) lilikuwa uwongo.
Mchambuzi...
MADA: NABII YULE NI NANI?
Nimeleta mada hii kutokana na UPOTOSHAJI wa masheikh na waislamu wengi ,
"NABII YULE NI NANI", mada hii nimewahi kujadili na masheikh ndani ya msikiti kipindi nawapiga...
Leo kila mtu ana simu, data na account ya TikTok, YouTube, Instagram au Facebook. Hilo ni jambo zuri kwa uhuru wa taarifa. Lakini pia limeleta tatizo kubwa:
Watu wengi wanafundisha mambo nyeti...
Umoja wa Afrika umetambua juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza na kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ndani na nje ya nchi, na...
Hapa naongea na watu wenye miaka 35 na kuendelea, vijana wa hovyo hovyo kama Holoholo-Baba Kijacho hapa mkae kimya ila msome coment kuna kitu mtajifunza,
Je ulifanya maamuzi gani in your 20's...
JINSI YA KUWA JASUSI WA KUJITEGEMEA; NA ITAKAVYOKUSAIDIA KATIKA MAISHA YAKO YA KILA SIKU HASA KIUCHUMI NA KIJAMII.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nianze kwa kusema mimi sio jasusi, sijawahi...