Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Makonda amekuwa akijisifu ya kwamba yu msafi wakati Makonda huyo kipindi akiwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi MUCCOBS aliweza kutumia nafasi hiyo kutafuna pesa za wanafunzi. Kwa mujibu wa...
8 Reactions
127 Replies
54K Views
Sokoni, Nzega. Tulipoenda kununua vitu mbalimbali kwa ajili ya kambi yetu kampeni za uchaguzi mdogo wa udiwani kata ya Nata. Hapo ni kwenye duka la kiongozi wa CHADEMA hapa Nzega ambapo tulikaa...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Poleni kwa usumbufu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hakuna nchi duniani iliyoendelea bila mapinduzi ya viwanda,,na kilimo.mapinduzi ya viwanda ujerumani na uingereza yalianza1500 bk watanzania tuko nyuma miaka mingapi? Je tumeshaanza? Maswali ya...
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Habari zenu wana jf. Nimeshindwa zuia hisia zangu juu ya hii jinsia ya kike na umuhimu wake hapa duniani nikaona nije nitiririke huku ili kama kuna wenzangu wenye hisia kama zangu juu ya kiumbe...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Acha tu. Mshahara acha uitwe mshahara jamani pamoja na udogo wake. Ukitoka tu hali ya hewa mtaani inabadilika mno. Laki mbili mbili hizi jamani acheni tu.
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Tanzania imekuwa na ukuaji mzuri wa uchumi lakini changamoto kubwa ni kuongezeka tofauti ya kipato kati wananchi wa kipato cha chini na matajiri hali inayoweza kuathiri mchakato wa kufikia uchumi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa kawaida ikifika tarehe 23 ya kila mwezi mishahara inakuwa imeshatoka karibu kwa watumishi wote wa umma hili likiwa ni jambo la kupongeza sana tofauti na awamu zilizopita. Sasa leo Alhamisi...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
[emoji121] WAKUU, KWA ATAYESIKIA MNADA WOWOTE HAPA TOWN ANIJUZE FASTA SANA, NARUDIA, MNADA WOWOTE ULE, YAANI HATA UWE MNADA WA NDALA, KAPTURA AU SOKSI- NIJUZENI. MAANA'KE HII MINADA HII...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa yeyote anayejua kuhusu tofauti iliyopo kati ya halimashauri ya wilaya na halimashauri ya wilaya, na kama kuna uwezekano wa kujuzwa zaidi juu ya mamlaka zake na kwa namna zinavofanya kazi...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Wana JF na watumishi, Toeni sababu za msingi kwanini viongozi wa TUCTA (Chama cha wafanyakazi) wasitolewe au kukataliwa na wanachama kwa utaratibu wa kukataliwa kwa kushindwa kuwatetea...
0 Reactions
2 Replies
774 Views
Mnada wa nyumba ya mfanyabiashara, Lugumi iliyopo Mbweni umesitishwa baada ya wanunuzi kushindwa kufikia bei elekezi, mnunuzi wa juu amefikia Sh510 Nyumba ya pili iliyopo mtaa wa Mazengo Upanga...
5 Reactions
81 Replies
14K Views
Hizi habari za watu kuhama upinzani na wengine waliokua nje ya siasa kuhamia CCM inanipa mashaka isije ikawa kuna dili nono laja wanakimbilia mgao!! Au pesa za ACACIA zitagaiwa CC* nn?? Na kama...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wakati huu wakuu. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema hivi ni kwanini ukielezea mapenzi yako waziwazi kuwa against upande fulani wa "... " unakua adui? Ni mimi tuu au ndio mchezo wa...
1 Reactions
9 Replies
947 Views
Huwezi kuamini lakini ukweli utatuweka huru. Jumuiya ya afrika mashariki inajua. Jumiya ya kusini mwa Afrika sadc wanatambua. Asilimia kubwa ya watu wanaouzwa ni watu kutoka somalia na mataifa...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Yaani Wahubiri wa siku hiz mahubiri yao Mengi unakuta 75% yanahusu kupata hela, ujasiliamali na mengi yanayofanana na hayo halafu unakuta 25% inayobaki ndio mafundisho ya kibiblia. Kanisani...
2 Reactions
5 Replies
900 Views
Salamu wakuu! Weekend inaendelea vizuri. Kina tabia ya wanaume hasa wa Dsm unakuya mtu anakunywa pombe hana cash mfukoni hata 100. Akishalewa anasema nakulipa kwa mpesa au tigo pesa na mbaya...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Hivi karibuni kumekuwepo na uhamasishaj wa raia kuchangia miradi mbalimbali ya kushtukza ikiwemo hili la kijenga makazi ya askari wa jeshi la polisi. Mimi sikatai kabosa ushirikshwaji kwa sababu...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri wa Madini Mhe. Angela Kairuki leo tarehe 24/12/2017 amekutana Jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Jasem Al Najem. Wamezungumzia masuala mbalimbali ikiwemo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanabodi nisiwachoshe sana,Salaam? Kuna ndg anaitwa Elias Jonas Samson vyeti vyake vimeokotwa msamvu stand ya mabas morogoro O.level amesoma st peter,A.level amesoma Nyegezi seminary,na chuo...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…