MLA PANYA SWANGA
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 5,186
- 5,454
Huwezi kuamini lakini ukweli utatuweka huru. Jumuiya ya afrika mashariki inajua. Jumiya ya kusini mwa Afrika sadc wanatambua.
Asilimia kubwa ya watu wanaouzwa ni watu kutoka somalia na mataifa mengine machache mfano watusi na wahutu.
Kwa sasa msomali popote alipo anasakwa ni bidhaa. Maaskari wetu wa ulinzi wanajua wanavyopiga pesa kupitia wasomali wanaopita njia za panya kuelekea afrika ya kusini ili kwenda ulaya kuishi.
Ukiwakuta wasomali wamefichama porini hata watatu basi hukosi pesa kuanzia milioni kupitia watu hao ili wasonge mbele na safari. Mchezo huu wanaujua wengi.
Biashara ya kuuza watu afrika sasa imeshamiri kwa mfumo mwingine.
Wanasafirishwa kama bidhaa toka Kenya, arusha mpaka Mbeya kwa kupangwa kama magunia ktk fuso huku gari hizo zikiwa na pass ya usafirishaji wa magodoro na mbinu nyinginezo.
Wanaojua biashara hii inavyofanyika ongezeeni nyama maana wanakufa sana wawapo safarini.
Tuwe na huruma hakuna anayependa kukosa amani.