Kuukataa upande fulani

God'sBeliever

JF-Expert Member
Sep 1, 2015
5,790
3,019
Habari wakati huu wakuu.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema hivi ni kwanini ukielezea mapenzi yako waziwazi kuwa against upande fulani wa "... " unakua adui?
Ni mimi tuu au ndio mchezo wa toka enzi? Nauliza hivi maana niko tortured na bado hatma ya maisha yangu sijui itakuaje.
Inamaana sisi tulioamua kuwa wa kweli ndo tuwekewe chuki? hatutaruhusiwa kujitafta maisha? tutatengenezewa mizengwe na mambo mengine kibao ya kutukwamisha maishani?

Kuna maana gani kuishi sasa? Kama mtu huishi kwa raha si bora ufe tuu yaishe.....
Mtu sina rafiki, demu, pesa, naishi kwa wasiwasi tuu sasa nini maana ya maisha?
Sa nyingine tunasemea nchi jirani wana chuki ila no kuna kikundi kipo vizuri bwana ukishakua agaist nacho basi jiandalie maisha ya karaha tuu.
================================================

Anyway duniani tunapita wapo waliokwepo toka enzi sasa imebakia historia. Mimi ni muwazi mda wote na napendelea zaidi mtu ukiwa na jambo tukae tuongee hivi visa sio ishu wala nini.
Halafu hivi kweli mwanaume mwenzangu wanifanyia hivi? hata nyinyi wanawake nanyi mna watoto, baba na ndugu zenu mnaona mko sahihi?

Life goes on. Unaweza kuniharibu mimi ila huwezi haribu ninacho kisimamia. Wapo akina 2Pac, Malcom, Martin Luther and so on.... wamekufa lakini wameacha LEGACY so kimtindo wanaishi mioyoni wa vizazi na vizazi.
 
Mkuu pole sana, pata glass ya Maji kwanza upunguze ghadhabu, kwenye maisha unapaswa uwe na Plan A,B,C.., Aidha ukiona Giza linazidi tambua ndo kunakaribia kupambazuka!
 
Usijali na wewe utaishi vizazi na vizazi kwa ulichokiandika.
 
Mkuu pole sana, pata glass ya Maji kwanza upunguze ghadhabu, kwenye maisha unapaswa uwe na Plan A,B,C.., Aidha ukiona Giza linazidi tambua ndo kunakaribia kupambazuka!
Maji nimekunywa sana mkuu mpaka bia lakini wapi....
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom