Vyeti vya Elias Jonas Samson vimeokotwa Msamvu stand ya mabasi Morogoro

Yapaswe

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2016
Messages
323
Points
250

Yapaswe

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2016
323 250
Wanabodi nisiwachoshe sana,Salaam?
Kuna ndg anaitwa Elias Jonas Samson vyeti vyake vimeokotwa msamvu stand ya mabas morogoro
O.level amesoma st peter,A.level amesoma Nyegezi seminary,na chuo amesoma mwenge chatolic university Diploma! Kama atakuwemo humu ndani tafadhali ajitokeze au kama unamfahamu mjulishe apate vyeti vyake!

Asante ni sana!
 
marxlups

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
12,836
Points
2,000

marxlups

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
12,836 2,000
Wanabodi nisiwachoshe sana,Salaam?
Kuna ndg anaitwa Elias Jonas Samson vyeti vyake vimeokotwa msamvu stand ya mabas morogoro
O.level amesoma st peter,A.level amesoma Nyegezi seminary,na chuo amesoma mwenge chatolic university Diploma! Kama atakuwemo humu ndani tafadhali ajitokeze au kama unamfahamu mjulishe apate vyeti vyake!

Asante ni sana!

Kwa chain hii atakuwa anatumikia madhabahu somewhere, na hapo kwenye blue ni Catholic
 
Forum statistics

Threads 1,365,388
Members 521,200
Posts 33,345,317
Top