Makonda amekuwa akijisifu ya kwamba yu msafi wakati Makonda huyo kipindi akiwa Waziri mkuu wa serikali ya wanafunzi MUCCOBS aliweza kutumia nafasi hiyo kutafuna pesa za wanafunzi.
Kwa mujibu wa Katiba ya chuo yeye ndiye anaidhinisha pesa kutoka hivyo kupitia nafasi hiyo aliweza kutumia pesa zetu vibaya na upelekea Waziri wake wa fedha aliyekuwa anagombea nafasi ya urais kushindwa kutokana na kashfa hiyo ya pesa.
Na makonda mwaka 2009 katika maadhimisho ya kifo cha Nyerere alipewa pesa ya maandalizi lakin kutokana na tamaa zake alikwenda kwa Ndesamburo nako alichota pesa hiyo ikapelekea kuvuliwa ujumbe wa UVCCM mkoa wa kilimanjaro.
Na alitumiwa na CHADEMA kuimaliza CCM chuoni, hilo ni fisadi dogo linalo chipukia kwa mgongo wa kutumia usafi kama anavyojinasibu.