Mishahara ya mwezi November sijui itatoka wiki ijayo baada ya uchaguzi mdogo wa Jumapili?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,011
144,371
Kwa kawaida ikifika tarehe 23 ya kila mwezi mishahara inakuwa imeshatoka karibu kwa watumishi wote wa umma hili likiwa ni jambo la kupongeza sana tofauti na awamu zilizopita.

Sasa leo Alhamisi tarehe 23 kimya Ijumaa ya kesho nayo ikipita kimya maana yake ngoma ni mpaka Jumatatu na kuendelea huku uchaguzi unakuwa teyari umepita.

Anyway,huenda labda marekebisho ndio yanachelewesha hivyo watu wasikate tamaa na pia tusibiri tuone kesho inapitaje kwanza.

Nawaza tu mwenzenu.
 
Itachelewa kidogo kwa kuwa hata Payroll itachelewa kwa kuwa wana update wale Wenye promotion Watu 59 na kuna kama kanyongeza kadogo Ka Increament
 
Unajua kufanya hesabu za asilimia?
IMG-20171123-WA0066.jpg
 
Itachelewa kidogo kwa kuwa hata Payroll itachelewa kwa kuwa wana update wale Wenye promotion Watu 59 na kuna kama kanyongeza kadogo Ka Increament
Haya bwana wacha tusibiri lakini ujue kuna uchaguzi Jumapili.
 
Kwa kawaida ikifika tarehe 23 ya kila mwezi mishahara inakuwa imeshatoka karibu kwa watumishi wote wa umma hili likiwa ni jambo la kupongeza sana tofauti na awamu zilizopita.

Sasa leo Alhamisi tarehe 23 kimya Ijumaa ya kesho nayo ikipita kimya maana yake ngoma ni mpaka Jumatatu na kuendelea huku uchaguzi unakuwa teyari umepita.

Anyway,huenda labda marekebisho ndio yanachelewesha hivyo watu wasikate tamaa na pia tusibiri tuone kesho inapitaje kwanza.

Nawaza tu mwenzenu.
Mshahara subirini.ngoja kwanza tumalize hili zoezi la kununua wanasiasa wa upinzani
 
Back
Top Bottom