Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tukio hili liko mubashara ITV muda huu, ukuta umeshabomolewa na sasa anasubiriwa Waziri aje kutoa mazagazaga yake ili ofisi yake na Naibu wake zipigwe chini. Source ITV breaking news!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari JF Mimi ni mtumishi wa afya kama Lab scientist katika hospitali X ya mkoa Y. Hivi karibuni nimehitimu degree ya uzamili (masters) katika fani ya tafiti za afya yaani Clinical research...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wadau.. Magufuli anafanya mengi sana. Nimependa wazo la kuunganisha mifuko ya hifadhi ya jamii, maana ilikuwa mingi bila sababu ma ceo wengi huku kazi ni zile zile... Kuna ujinga mwingine...
13 Reactions
44 Replies
5K Views
huyu mzee alikuwa ni mtaalamu sana wa kutafsiri mikanda yaan movie, kipindi hicho ukiwa umetumwa sehem au unapita karibu na kibanda ukasikia sauti ya mkandara akisema "KATIKA JIJI LILE KUU LA...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
samahani wakuu nina shida ya tv nimeona matangazo kupatana kuhusu jamaa flan wapo zanzibari naomba mawazo kwa mwenye uzoefu na kuagiza mizigo toka huko.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Natumai asilimia 80 ya wana jf humu ndani ni wanachama wa Makundi mengi ya kijamiii Ninaposema makundi ya kijamiii Hapa nazungumzia ma group Ya whatsapp ambayo upo added Vyama vya kufa na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndugu wana jf ninawasalimu wote na kuwapa pole/hongera kwa majukumu ya kulijenga taifa letu. Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kufuatia mjadala unaoendelea juu ya fao...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu, Natokea Tabata nataka kufika Kunduchi Beach KKKT. Msaada wa kuelekezwa ili niweze kufika.
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Wakuu.. Fans wa Arsenal msiwe mbogo na makamanda wenzangu msinizingue mwana w3nu; ila embu tiririka kujibu swali.. Binafsi mimi si mpenzi wa kilabu cha Arsenal washika bunduki (pyu pyu) ila ni...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari ya jumapili wakuu. Sasa naanza kuamini kua Dr. Shika ni muongo na yote aliyoyasema hayana ukweli. Hati yake ya kusafiria inaonyesha amezaliwa 31.12.1969, ni sawa na kusema amezaliwa...
6 Reactions
93 Replies
16K Views
-Tangu jana eneo la Mwananchi - Jiji la Mwanza hatuna huduma ya maji na MWAUWASA hawajatueleza kuwa kuna tatizo gani?. Nawashauri muwe kama wenzenu wa TANESCO ambapo kama tatizo lolote...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za wakati huu!! Jana ilikuwa ni Black Friday, na vitu vilikuwa vinauzwa kwa bei ya punguzo. Nilipata mda wa kuperuzi kwenye Jumia online market, na bahati nzuri nikakuta kuna bidhaa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (wa tatu kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori-Mweka, Brightone Mbilinyi kuhusu mafunzo ya...
0 Reactions
2 Replies
11K Views
Wataalamu wa afya wanadai kulia kwa kutoa machozi kuna faida kiafya kama kuondoa bakteria wa maambukizi machoni & kuondoa mkazo (stress), wasiwasi (anxiety) na huzuni. Kulia pia si udhaifu...
3 Reactions
8 Replies
5K Views
Mods mtanisaidia kuhamisha huu uzi kama hapa si mahala pake sahihi: "Note: No one was seriously hurt in this clip." This video is for educational purposes only as it demonstrates the real...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamii Forums heshima kwenu... Mwaka huu 2017 unaelekea ukingo, Tunamshukuru Mungu mpaka leo hii tupo salama, je kwa mwaka ujao una malengo gani umejiwekea yan kwa Mwaka 2018 Mungu akiendelea...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, kama inavyojieleza hapo, BINAFSI, sijawahi kukutana au kuona msiba unasafirishwa kutoka mikoani, kupelekwa kuzika Dar es salaam. Je hii ni kwa sababu Dar wengi ni wahamiaji...?? Au sababu...
10 Reactions
44 Replies
6K Views
Wanabodi habari za Jumapili; Niende moja kwa moja kwenye mada,mimi ni miongoni mwa waliobahatika kupata ajira katika kada hii ya afya kwa ajira zilizo tangazwa.Chuo nilicho soma tumebahatika...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Amani kwenu nyote hapa ubaoni Huyu si kikwazo kikubwa zaidi kwa CUF kusonga mbele na kuimarika zaidi na kurudisha hadhi yake ya Chama kama zamani. Ila kwa anayoyafanya ndani ya Chama cha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari. Wadau tukutane hapa tuelekezane wapi mtu unaweza kupata elimu,ujuzi,ufundi au maelekezo ya kutosha kuhusiana na huduma inayohusiana na elimu au ujuzi ambayo mtu unaitafuta. Mfano: Mimi...
0 Reactions
3 Replies
912 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…