Wanabodi habari za Jumapili;
Niende moja kwa moja kwenye mada,mimi ni miongoni mwa waliobahatika kupata ajira katika kada hii ya afya kwa ajira zilizo tangazwa.Chuo nilicho soma tumebahatika kuchaguliwa watu 16 wa kada tofauti za afya na tumechaguliwa Halmashauri tofauti.Na wote hatukuwa na vyeti kwa kuwa havijatoka mpka baada ya Graduation ambayo ni kati ya December na January kwa mujibu wa chuo. Transcript na Barua za chuo ndizo tulizo tumia kuombea kazi na tukapata.Tulienda kuripoti tukiwa na Transcript na Barua ya mkuu wa chuo inayoonesha tutapata vyeti wakati gani na kuwa tulifaulu vizuri.kati ya 16 tuliochaguliwa 14 wameshaajiriwa lakini mimi na mwenzangu Maafisa utumishi wa HALMASHAURI HIZO wametukataa kwa kejeli,vijembe na matusi juu,huku wakiwakashifu sana wakubwa wao TAMISEMI kuwa kwanini walituchagua wakati tuna trascript.Tulitamani kuwakatika Halmashauri za wenzetu ukiacha hawa wakorofi wanao sahu kuwa dunia inazunguka ipo siku itakuwa kwa watoto wao au ndugu zao.
Tumejaribu kuwabembeleza chuo kitupe vyeti kabla ya muda wa kuripoti haujaisha,Chuo kikasema vyeti hajiandaliwa mpaka DESEMBA au January,kwa kuwa tunao lalamika na wawili kati ya 16 nguvu ya ushawishi imekuwa kidogo na hivyo ajira zimetupita pembeni inauma sana.
wanabodi tunaomba ushauri tufanye nini kabla ya mwezi wa Novemba haujaisha ukiisha tu ajira ndo tumesha kosa
USHAURI TAFADHALI