'Ikira',(Soma) Wapi naweza kusoma nini,Tuelekezane.

dalalitz

JF-Expert Member
Sep 6, 2013
3,332
1,862
Habari.

Wadau tukutane hapa tuelekezane wapi mtu unaweza kupata elimu,ujuzi,ufundi au maelekezo ya kutosha kuhusiana na huduma inayohusiana na elimu au ujuzi ambayo mtu unaitafuta.

Mfano:
Mimi binafsi,nahitaji kufahamu,
Ni wapi kwa hapa Dar ipo taasisi inayotambulika kimataifa itoayo
mafunzo ya Lugha ya Kiarabu.

Mwenye kujua anifahamishe tafadhali.

Aidha niwajuze, wale wasiojua;
Kwa lugha ya KIFARANSA,
Kuwa utapata kukisoma Kifaransa halisi kutoka katika taasisi pekee inayotambuliwa na Wizara ya Elimu ya Ufaransa.

Ambapo unao uwezo ukihitaji kusoma tu,
Jisha basi.Ila ikikupendeza pia utafanya mitihani kuanzia ile ya hatua ya awali hadi kufikia hatua ya ubobezi.
Na ambayo inatambulika duniani.

Kwa wasomi ongeza thamani ya CV yako.
Itapendeza!

Mazingira ni mazuri,
Miundombinu ni ya kisasa,
Na unapata thamani ya pesa yako.

Kozi mpya inaanza mwezi wa kwanza 2018,

Usajili umeshaanza.

Nitajibu maswali ambayo yatakuwa ndani ya uwezo wangu, Yatakayohitaji ufafanuzi wa ndani zaidi,
Italazimu nikuunganishe na wahusika.

Nawasilisha,

➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Uza, Nunua,Panga,Pangisha
Nyumba,Mashamba,Ofisi,
Dhahabu ghafi,Vito na Migodi.

Usisite kunipigia:
+255-714-591548

Sio Ikira bali ni IKRA ao IQRA.
 
Nilivyoona hiyo Ikra nikakumbuka yule bwana aliyedanganya ulimwengu eti alibanwa mbavu mpaka akasoma kilazima.
 
Back
Top Bottom