Dr. Louis Shika Kid alipelekwa Urusi kusomea Udaktari akiwa na miaka 14?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,456
17,212
Habari ya jumapili wakuu.

Sasa naanza kuamini kua Dr. Shika ni muongo na yote aliyoyasema hayana ukweli.

Hati yake ya kusafiria inaonyesha amezaliwa 31.12.1969, ni sawa na kusema amezaliwa January 1, 1970. Kwa maana hiyo Dokta ana miaka 47 na siku kadhaa.

Kwa muonekano wake tu anaonekana ana miaka zaidi ya 60. Watu wenye umri sawa na dokta wa miaka 47 hawana muonekano wa sura sawa na dokta. Dokta anaonekana ni mzee zaidi.

Sitaki kuamini kwamba dokta yuko kwenye forties, hebu jaribu kuangalia watu unaowajua ambao wana miaka 47 kama wanafanana na dokta.

Je ni kweli kua dokta baada ya kumaliza tu shule ya msingi alipelekwa Urusi kusomea udaktari.

Balozi aliekua Urusi anasema dokta alikua muajiriwa wa wizara ya afya na ndio iliyompeleka urusi kusoma, maana yake alipomaliza tu shule ya msingi aliajiriwa wizarani na mwaka huo huo akapelekwa urusi kusomea udaktari.
20171126_114025.png
 
Kuna kitu hakijakaa sawa kwa huyu "dokta"!Mtu mwenye miaka 47 ndiyo huwa vile? Kwani huwa anaishi kwa kula saruji. Hilo moja, ila "blanks to be fulfilled completely"!Muda mwalimu mwema.
 
Tuwaangalie wenye umri sawa nae kama wanaendana kwani wote wameishi maisha sawa??? Sura ndio umri wa mtu???
Na hoja yako kubwa ni nini??
Umri wa dokta Sura au elimu yake??
Rudia kusoma utaelewa hoja yangu kubwa ni nini.

Hata kama unaishi au umeishi maisha magumu kiasi gani huwezi kupishana kimuonekano na age mates wako kiasi kikubwa hvyo, kwamba wewe una maisha magumu, umri wako ni miaka 25 alafu uonekane kama una miaka 40 au 45?

Sura haiwezi kua umri wa mtu ila inaaakisi umri wa mtu.

Rudia kusoma vizuri uelewe.
 
Kuna kitu hakijakaa sawa kwa huyu "dokta"!Mtu mwenye miaka 47 ndiyo huwa vile? Kwani huwa anaishi kwa kula saruji. Hilo moja, ila "blanks to be fulfilled completely"!Muda mwalimu mwema.

hahaaa eti anaishi kwakula saruji...duuuhh ila kweli ujue
 
Pombe chakari huzeesha sana sura ya mtu hiyo inaeleweke yule chapombe wa Russia niliolewa na hao waliosoma udr urusi acha bwana pombe sigara ni jadi yao tena pombe kali za kupitiliza nilijitahidi kumsaidia ushauri nasaha na kuongea na wazazi walikuwa waelewa wakaongea nae akawa muelewa akaacha but kwa sigara aliacha late nicotine ilishaanza madhara makubwa now is marehemu kwa ajili hiyo
 
Rudia kusoma utaelewa hoja yangu kubwa ni nini.

Hata kama unaishi au umeishi maisha magumu kiasi gani huwezi kupishana kimuonekano na age mates wako kiasi kikubwa hvyo, kwamba wewe una maisha magumu, umri wako ni miaka 25 alafu uonekane kama una miaka 40 au 45?

Sura haiwezi kua umri wa mtu ila inaaakisi umri wa mtu.

Rudia kusoma vizuri uelewe.
Kwahiyo ni muongo na hakwenda kusoma au unataka kutuambia nini ndugu??
 
Back
Top Bottom