Namna gani naweza hamisha ajira yangu kwenda taasisi za serikali zinazohusika na tafiti za afya (NIMR)

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,314
1,366
Habari JF

Mimi ni mtumishi wa afya kama Lab scientist katika hospitali X ya mkoa Y. Hivi karibuni nimehitimu degree ya uzamili (masters) katika fani ya tafiti za afya yaani Clinical research.

Toka niripoti toka masomoni kuna kila dalili za kuwa under-utilized, kwani shughuli nazofanya ziko equivalent na primary degree.

Napenda kupata msaada wa namna gani naweza hamisha ajira yangu kwenda taasisi za serikali zinazohusika na tafiti za afya(NIMR) ili niweze tendea haki ujuzi wangu mpya kama mwanasayansi.

Ushauri wenu wadau unahitajika sana.

Nitangulize shukrani zangu, asanteni.

Katika hili wadau wanaofanya kazi katika taasisi za utafiti ntahitaji connection yenu.
 
Nenda kwenye Taasisi husika, ukaulizie kama wana nafasi au uhitaji wa Kada yako wakikubali kama ipo basi rudi ofisini kwako uanze taratibu za Uhamisho.
 
Back
Top Bottom