Jum Records
JF-Expert Member
- Jun 30, 2014
- 548
- 559
Wanajamii Forums heshima kwenu... Mwaka huu 2017 unaelekea ukingo, Tunamshukuru Mungu mpaka leo hii tupo salama, je kwa mwaka ujao una malengo gani umejiwekea yan kwa Mwaka 2018 Mungu akiendelea kukupa afya njema... Binafsi kwa mwaka ujao nina lengo kuu moja tu nalo ni kununua kiwanja popote pale hapa Dsm ila nahisi Chanika ndio itapendeza zaidi.. Je wewe mwenzangu? Tiririka hapa....