mfungwa
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 1,294
- 345
Ni siku ya pili nikishuhudia kukosekana kwa Umeme hapa wilayani ukerewe. Sijui hii wilaya vipi.
Nikiangalia barabara, sielewi mkurugenzi au mkuu wa wilaya haiingii akilini kabisa. Naimani kuna barabara hazijalimwa tangu kuumbwa kwa dunia na zimeachwa tu.
Twende maji, mradi wa maji mfano tenki la maji Lutare halina maji mwezi kisa idara ya maji inadaiwa na Tanesco.
Daraja unakuta inaelekea kubomoka inasubiliwa ibomoke iachwe kutengenezwa mwaka mzima.
Hii ndio wilaya kwelikweli na ndio utasema inaserikali.
Haiingii akilini kabisa.