Airtel & Tigo wamenifanyia kitu mbaya,wapi naweza kupata msaada.

Nascoba

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
310
160
Nilikosea kutuma pesa kiasi cha shilling 65000/-kutoka Airtel money kwenda tigo pesa ktk namba 0678984060 ambapo ilikuwa majira ya saa tisa alasiri.
Haraka haraka nikapiga simu Airtel kutoa report na kuomba msaada ili pesa izuiwe baada ya kugundua niliemtumia amezima simu.airtel wakaniambia tatizo langu limepokelewa na kwamba litafanyiwa kazi ndani ya masaa 24.masaa yalipita nikaendelea kuwapigia huku na wao wakiniambia niendelee kusubiri hatimae leo wakanipa jibu ambalo lilinistua kwamba Tigo hawajajibu taarifa yao kwa hiyo tatizo lipo Tigo.nikaona bora niwapigie tigo kupata ukweli maana danadana zimezidi.
Nimepiga Tigo naambiwa taarifa ilichelewa na kwamba pesa ilishatolewa kwa hiyo nimeambulia kupewa pole na kuambiwa Asante kwa kutumia huduma zao wananitakia siku njema hawana njia nyingine ya kunisaidia wakati huo alietoa pesa anajulikana lakini wao eti hawana njia ya kunisaidia.
Nini naweza kufanya ili kupata pesa zangu msaada please.
 
Ungeipiga hiyo namba uliokosea mkaongea kistaarabu pengine angekurudishia japo kiasi ya kufuta machozi
 
kwa vyuma vilivyo kaza///sidhan kama angeambulia kitu..
Mnagawana hata nusu unamwambia achukuenkiasi anachiweza at least akurudishie ya kufutia machozi engine hua walelewa na hurudisha mbona
 
Mnagawana hata nusu unamwambia achukuenkiasi anachiweza at least akurudishie ya kufutia machozi engine hua walelewa na hurudisha mbona
hii inahitaji mtu muungwana sana..nakumbuka hata mm imewahi nikuta hii..ila jamaa alinirudishia hela yang yote..nkamshukuru kwa kumpa buku10 mana ilikuwa ef 40000
 
hii inahitaji mtu muungwana sana..nakumbuka hata mm imewahi nikuta hii..ila jamaa alinirudishia hela yang yote..nkamshukuru kwa kumpa buku10 mana ilikuwa ef 40000
Hata mimi ilishanikuta tena akawa anachungulia salio na kuacha hakutoa na mm hapo nikakomaa na tigo wee nikaona hawanisaidii nikampigia nikamwambia ukweli na mwisho nikamwambia nirudishie pesa yoyote anayoona inafaa nitaipokea hata ikiwa alf moja na akairudisha akakata elf tano ambayo alichukua ukiona umefanyiwa uungwana ujue kuna mahali umefanya uungwana unalipwa kwa style hiyo ndio ile kauli ya malipo ni hapa hapa
 
ni kweli aseeeh..cha muhimu uungwana tyuu..mm kunamtu alinitumia 15000 alikuwa anaishi kigoma kama sijakosea..nilimpa hela yake yote na alinishukuru balaa..ndio mana hata huyo jamaa aliponirudishia hela yangu nkawakumbuka kuwa nmeshawah tenda wema aseeeh
 
Basi hua kwa style hiyo sikuwah kutumiwa hela na mtu kimakosa hiyo ndio ilikua mara yangu ya kwanza kukosea na ya mwisho maisha haya hajuna ajuaye kesho
 
Hata mimi yamenikuta mpk sasa ni week sasa mi nimepatia namba lkn aijafika kwa mlengwa sasa cjui namba zao nimewatumia email ndo wanakonijibu tatizo liko vodacom wanashughulikia naombeni namba zao niwatukane nadhani watanisaidia mana usitaarabu wameshindwa wanataka leta wizi nilijua peke angu
 
Back
Top Bottom