Mtangazaji wa ITV Ufoo Saro yupo wapi?

Wakati wa kampeni alikuwa anaripoti mafuriko ya Lowassa mwenzake Emmanuel Buhohela alikuwa anaripoti mafuriko ya "Yesu". Baada ya uchaguzi Buhohela akachukuliwa ikulu Spensa sijui aliishia wapi
Inawezekana watu walimtonya apotee otherwise watu wasiojulikana wangempoteza kama Ben Saanane.
 
Na Spensa Lameck yuko wapi?

Ha ha ha mzee! Big up! Hili jina nalo nimoja ya majina muhim sana!

Spensa lameck alilipoti uchaguzi mkuu 2015 alikuwa akikimbizana na kila mtu
Bila kumsahau yule mzee sana nae cjui yupo wapi.

Cjui watakuja tena uchaguzi huu.
 
Wakati wa kampeni alikuwa anaripoti mafuriko ya Lowassa mwenzake Emmanuel Buhohela alikuwa anaripoti mafuriko ya "Yesu". Baada ya uchaguzi Buhohela akachukuliwa ikulu Spensa sijui aliishia wapi

Ha ha ha ha !!! Ile nyie watu mnaumiza watu mbavu! Nimecheka hii comment yko kila mtu ananishangaa.
Eti mafuriko ya Yesu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom