Kweli nyani haoni kundule hapa duniani!

Kweli nyani haoni kundule hapa duniani!

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,036
Reaction score
28,082
Katika kuperuzi peruzi kwangu huko mitandaoni nilijionea mbunge wa ujerumani aliyeshiriki katika mkutano wa 153 hapa arusha akilaama juu ya disappearance ya watu hapa Tanzania, lakini nikajiuliza je hili ni lakwetu pekee?,nikakuta hapana,
Nilichokikuta ni kwamba katika kanchi kadogo kama ujerumani by sqm, wanapotea watu 100,000 kwa mwaka sasa sijui wao huwa hawalioni hili la kwao kama ni kubwa zaidi mara 1000 kulinganisha na disappearance ya hapa kwetu tanzania,
>>Kuwaelewa hawa mabeberu ni kazi ngumu sana.

"""In Germany, roughly 100,000 to 350,000 missing person reports are logged or opened per year across all age groups, with the Federal Criminal Police Office (Bundeskriminalamt - BKA) typically handling around 6,000 to 11,000 active long-term or short-term police cases on file at any given time""".
 
Kwa hiyo "wakipotea" watu laki moja huko Ujerumani ndiyo inahalalisha Tanganyika wapotezwe tu?Siamini kama ni wewe ndiyo umeamdika hayo majambo.
 
Uovu ukemewe popote pale,haukubaliki,lakini utagundua wapo busy zaidi na afrika kuliko uchafu wa ndani ya nchi zao!
Hilo si kweli.Huko kwao viongozi na wananchi wanaishi kwa adabu.Ndiyo maana maandamano na ubadilishwaji wa serikali/vyama ni kila uchaguzi.Tuwe wakweli na wasikivu wakitusema kwa mabaya yanayotendeka.
 
Issue sio kupotea je cases hizo huwa zinakuwa resolved au haziwi resolved?

Hao watu wanapatikana au hawapatikani?

Takwimu zinasema ni 1% - 2% ya cases tu ambazo ninakuwa ni long term unresolved.
 
Issue sio kupotea je cases hizo huwa zinakuwa resolved au haziwi resolved?

Hao watu wanapatikana au hawapatikani?

Takwimu zinasema ni 1% - 2% ya cases tu ambazo ninakuwa ni long term unresolved.
Na, kwenye hayo mataifa ya Ulaya/Ujerumani,hao watu hupotea na jitihada za kujua takwimu na kuwatafuta zinaonekana.Tofauti na huku ambapo watu wanatekwa na kupotezwa/kuuwawa kwa kificho au hadharani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom