Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SIHITAJI SADAKA YAKO, MIMI SIO NABII, SIKUFUNDISHI UAMINI NINI, ILA NATAKA UJUE UKWELI Utazaliwa na kuitambua njia moja ya kutaka kupata tendo, ambayo ni kwenye uke. Itafika hatua ambapo unakuwa...
8 Reactions
95 Replies
1K Views
Kiukweli hii nchi yetu ukiondoa hizi barabara kuu ni shida tupu hasa hiki kipindi cha mvua! Kwa upande wangu gari zote nilizowahi kumiliki ni gari za chini, ila tu niseme ukweli kipindi chote...
7 Reactions
12 Replies
326 Views
Baada ya mkataba wa ajira kwisha nataka kudeal na photo.. Nimeona nianze na Epson,, kamera ninayo,, lakini pia naomba kujua app nzuri ya kudeal na photo editing, asante,,
0 Reactions
1 Replies
27 Views
Juzi nimenunua headphones za JBL nikauziwa bei ndogo sana, nilidhani nimewachapa ila kumbe ni copy na nilijua hilo ila nikikausha tu.. Hazina quality ya aina yoyote. Imenifikirisha sana...
8 Reactions
24 Replies
215 Views
Ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Jiji la Arusha umefikia asilimia 71.91 ya utekelezaji. Mradi huo unalenga kuboresha huduma za usafiri, kuweka mazingira bora kwa wafanyabiashara na kuongeza...
0 Reactions
3 Replies
93 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bw.Albert Chalamila, ameagiza kila nyumba kuwa na kifaa cha kuhifadhia taka (dustbin) angalau mbili kama sehemu ya juhudi za kuhakikisha Jiji la Dar es Salaam...
1 Reactions
6 Replies
134 Views
  • Redirect
Serikali chini ya uongozi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuweka mazingira ya kuwawezesha Watanzania, hususan vijana, kunufaika zaidi na fursa za kiuchumi. Baada ya msukumo katika sekta ya...
0 Reactions
– Replies
– Views
▪︎ Awataka vijana kuchangamkia fursa ▪︎ Aagiza leseni zisizoendelezwa zipewe vijana WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka vijana wa Kitanzania wachangamkie fursa zilizopo katika sekta ya...
0 Reactions
3 Replies
72 Views
  • Redirect
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, ameonyesha kutoridhishwa kwake na jezi mpya zinazosambaa zikidaiwa kuwa za timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars. Waziri Makonda...
0 Reactions
– Replies
– Views
Mawakili wanaomwakilisha msanii na mfanyabiashara mashuhuri wa nchini Marekani, Sean "Diddy" Combs, wamewasilisha ombi rasmi mahakamani la kujiondoa katika kumwakilisha kwenye kesi yake ya madai...
1 Reactions
0 Replies
74 Views
Eneo linauzwa morogoro -mvomero lipo kalibu na hospital ya mvomero,barabara ya mvomero na ni km10 tu toka dodoma road ndani ya eneo kulikua na uwekezaji wa madarasa mawili,minazi na mabwawa ya...
2 Reactions
8 Replies
105 Views
Awe kijana na mwenye uwezo mkubwa wa kutumia Computer anicheck DM tufanye kazi maana nimepewa kazi halafu sijampata mpka sasa mtaalamu
0 Reactions
5 Replies
46 Views
Wananchi, Wilaya ya Hai, Kata ya KIA, Kijiji cha Sanya station kuna changamoto ya Mto Sanya kujaa magogo na daraja kutokupitika yapata sasa zaidi ya miezi mitano. Hali hiyo ilitokana na kusombwa...
2 Reactions
3 Replies
129 Views
Jana👇 https://www.jamiiforums.com/threads/hamna-kitu-kinauma-kama-tangu-asubuhi-umeuza-elfu-30-tu-alafu-nje-ya-duka-lako-jamaa-kapaki-hilux-number-e-tsh-70m-hivi-mnapataje-pesa-wakuu.2472707/...
3 Reactions
4 Replies
51 Views
Salam wana JF, naandika haya nikiwa na masikitiko makubwa juu ya uonevu unaofanywa na uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) juu ya baadhi ya wafanyakazi wenzetu ambao wanaonewa na hawana...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Katika utitiri na mfululizo wa ujenzi holela wa makanisa kila sehem/kona,hilo kanisa likifunguliwa lazima kuna nabii wake. Huu mfumo umekuwa endelevu na unapata nguvu Kila siku kutokana na ujinga...
3 Reactions
31 Replies
203 Views
Hayo yamebainishwa na Dkt Tibera Rugambwa, Kaimu kitengo cha saratani Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya inayohudumia mkikoa saba ya Mbeya,Iringa, Njombe,Songwe,Ruvuma,Rukwa na Katavi wakati wa...
1 Reactions
5 Replies
34 Views
Anonymous
Mdau kutoka Arusha naomba kufichua vitendo vya wizi na uharibifu wa miundombinu vinavyoendelea katika maeneo mbalimbali ya pembezoni mwa barabara, hususan barabara zinazoendelea kufanyiwa...
0 Reactions
0 Replies
18 Views
Familia ya Kijana Frank Stanley mwenye umri wa miaka 27 Mkazi wa Bukoba aliyefariki dunia Septemba 02, mwaka huu katika Hospital ya Kanda ya Bugando Jijini Mwanza akiwa chini ya ulinzi wa Jeshi la...
4 Reactions
4 Replies
182 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…