de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 13,138
- 25,788
Watu wengi wanashangazwa na tabia yangu humu jukwaani.
Wanasema eti niwe natumia lugha ya upole na kuacha kusema jambo eti kwasababu Lita muumiza mtu..
Nawashangaa sana..
Hii dunia haina usawa, haina kitu kama hicho..
Kwa mfano kwa nchi zetu hizi za Africa. Watu wamebeba trauma na hawajali kuhusu wewe, wazazi wanaleta watoto duniani kuja kuteseka na kubeba misalaba ambayo wao kwa ujinga wao waliikubali itawale maisha yao.
Mimi niligeuka kuwa mbogo siku niliyo kuja kugundua hakuna anaye jali kuhusu mimi. Niligundua kuwa unaweza kujitoa asilimia zote kwa mtu na wasijue thamani yako.
So leo, mtu haniambii kitu, hakuna mtu wa kunipangia maisha tena. Na hakuna huruma tena niliyo nayo ndani yangu maana hata wale walioniumiza hawajali chochote kuhusu mimi wala wewe.
We live in a damaged world, sio kwamba eti ni nature ya mtu kuwa mbaya, Hapana. Ni mazingira na past experience ambazo zinatufanya tuwe makatili, ili uweze ku survive. Ukijifanya mpole utakuwa doormat na kila mtu ata kuchukuliwa point.
Wengine tulikuwa na mioyo safi sana, ila tukakumbana na majitu yaliyo shindikana na yaka tu shape leo umekuwa hivi. Sio kwamba tunataka ila ni kwasababu hakuna nafasi tena ndani yetu ambayo tunaweza kutoa the benefit of the doubt kwa watu
Sio kwamba hatuwezi kuwa watu wema ila inatubidi tuwe wabaya ili tu survive na ku thrive. Dunia haina huruma hii, hakuna anaye jali kuhusu wewe.
Kuna kipindi katika maisha yangu nilikuwa najiuliza ni kwanini watu hawana mioyo? Ila Niligundua kuwa wanacho fanya ni kujaribu kuficha maumivu makali walivyo yapata hasa katika ujuaji wao na harakati za maisha.
Leo hii ndoa hazidumu sio kwasababu watu hawapendi, ila ni kwasababu wao wenyewe wanahisi hawajitoshelezi mpaka mwenza wao atoe kitu fulani, au awe mtu wa aina gani. We are all trying to fill our hole through wanting other people to meet our own unworthiness.
Binafsi mimi ni mtu poa sana. Ila ni naishi bila huruma kwasababu no one wants to face themselves, watu watakufanya kitu mbaya endapo utawapa kila kitu na waambie wajiangalie kila trauma inayo wakabiri. Watakuja attack kisa nawaambia ukweli. Na hapo ndipo nilivyo pata jawabu kuwa sio kazi yangu kubadilisha kiumbe kingine chenye utashi na akili binafsi.
Sipendwi na members wengi humu kwasababu sinaga kumpaka mtu mafuta au kumlamba miguu. Kwangu Ukija utapata unachokitafuta na utarudi ulikotoka na somo lisilosahaulika.
Niwatakie alhamis njema.