Msaada Jinsi ya kufika DRC.

Msaada Jinsi ya kufika DRC.

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,021
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Naomba kufahamishwa ni Jinsi gani naweza kufika Kinshasa Kwa njia ya Barabara,ningependa kufahamu ni njia gani ya karibu,gharama na changamoto zake njiani,
Pia mbali na nauli,je ni vitu gani vingine ninahitajika kuwa navyo?
Karibuni Kwa michango yenu wazoefu wa Safari.
Ahsanteni.
 
Panda basi mpaka stendi kuu ya mkoa wa kigoma, Kisha chukua boti au meli kibirizi/K mjini utafika kongo bila shida
 
Mkuu kinshasa kwa basi? Masika tena!! Asikudanganye mtu. Fanya mpango wa ndege. Kwa basi unaweza tumia miezi 2
 
Back
Top Bottom