Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Nipo mbeya mjini. Ila huko kyela Nina eneo kubwa zuri tu lipo barabarani , barabara inayoelekea Matema beach ambayo kwa sasa ipo katika hatua za mwisho za kuwekwa lami . katika kiwanj a kuna maji pia umeme ni umbali wa kama km 12 kufika ziwa Nyasa matema beach pia ni umbali wa kama km 35 kutoka kyela mjini. Ktk utafiti wangu nimeona ktk eneo lote linalohusisha kata kama 3 hivi au zaidi hakuna NURSERY SCHOOL kabisaa . na uhitaji wa huduma hii ni mkubwa saana . Mimi professionally ni mwalimu ila sina capital kuanzisha hiyo shule Naomba kama kuna watu mwenye interest na hii biashara tuwasiliane Mimi nitatoa hili eneo . karibuni