Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,497
- 6,215
Makondakta wote hususani wa mabasi ya mikoani hasahasa kampuni ya Kandahari inayoendesha safari zake katika mikoa ya Singida,Kilimanjaro na Arusha wanapaswa kujitahidi kujenga sifa nzuri ya Kampuni na kuepuka Lugha zinazochafua sifa ya Kampuni na kupigwa faini zisizo za lazima mathalani juzi tarehe 3.1.2018 kuna faini iliyotokana na makondakta WA basi la kampuni yaKandahar lililokuwa likitokea Arusha kwenda Singida kushindwa kutumia Lugha ya biashara