Bora niache kuweka pesa Bank

Bora niache kuweka pesa Bank

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,168
Kutokana na hali ya kiuchumi ilivyo na habari ya kufilisika mabenki pamoja na sheria ya Amana za pesa zetu benki ikifilisika, ni afadhali kutohifadhi pesa nyingi benki kwa vile hakuna usalama. Pesa ni zangu mwenyewe lakini nanyanyasika kwa vile benki imefilika. Kama mmefilisika lakini sio pesa zangu, kwanza habari ya kunipangia kiasi cha kutoa pesa benki kwa siku ni unyanyasaji...yaani pesa nimeitolea jasho kuipata afu mmninyanyase kwenye hela yangu mwenyewe huu ni ukuku walahi. Yaani bora nisihifadhi pesa kwenye hizo benki zenu bora nifungue benki yangu mwenyewe kinyele. Mmxcieeee!!!
 
Back
Top Bottom