Hongera kwa miaka 56 ya Uhuru!
Ninapenda kua na passport ya kusafiria kama moja ya vitambulisho vyangu... Ivi ni lazima uwe na safari ya kwenda nchi za nje ndo uoate passport au naweza tu kwenda...
Yaan sijui nna matatizo gani.
Usingizi napata kwa taabu sana. Muda mwingine navusha usiku mzima bila kulala huku mwenzangu akikoroma kisawasawa.
Lakini nikipata safari ndogo mbili tatu baaasi...
Nimejaribu kufanya kaupelelezi kangu siku kadhaa, barabarani wanaume wengi ndio wanaoendesha vitugari vidogovidogo passo, vits, starlet na hivi vitugari vyenye matairi matatu vya siku hizi...
Hivi kwenye maazimisho ya uhuru reo hakukuwa na umuhimu wa kusimama hata dakika tano ili kutoa heshima kwa askari wetu waliouwawa Congo?[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Wakazi WA dar WA Kitambo hiko mnakumbuka tank la gesi la songas pâle ubungo lilipolipuka Enzi hizo nipo primary(kabla ya 2004) nilikua naishi kigogo luhanga kwenye magheto toka mkoloni
Heshima zenu wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza, leo ktk sherehe za uhuru mheshimiwa rais ametoa msamaha kwa wafungwa waliokuwa wamehukumiwa kunyongwa lakini pia wafungwa wa makosa mengine.
Na...
Je? kesi ya Masheikh wa Jumuiya ya Uamsho na mihadhara ya kiislaam Zanzibar (JUMUKI) ambao wanasota gerezani kwa miaka mnne sasa bila kesi yao kuamuliwa ambao wamefunguliwa na kesi ya ugaidi.
Na...
JENGO la Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), sasa kubomolewa Desemba 11 mwaka huu huku Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), ikitafuta njia bora ya kubomoa jengo hilo ikiwemo matumizi ya bomu, baruti...
Leo ktk historia.!!
39 Comments
16 Shares
224 224
Seya tayari out tunasubiri ufufuo. Edo alisema angefanya hayo yote wakapinga lakini leo wamefanya mojawapo sijui kama hilo la kwanza nalo...
Kushukuru kwa kila jambo jema unalofanyiwa na mtu ni muhimu katika kujenga uhusiano mzuri na watu wanaokuzunguka. Kwa kutambua hilo kila ifikapo mwisho wa mwaka watu huingia katika nyumba za ibada...
Umasikin umekua chanzo kikuu cha binadamu kudharaulika na ndugu, marafiki na jamaaa, lakini ikitokea siku mungu kakuinua, utaona wananza kuwa wa kwanza kukwambia unaringa na kuskia, wameshasahau...
Wananchi wanaoishi jirani wa viwanda jijini Dar es Salaam wapo hatarini kupata magonjwa ya mfumo wa upumuaji, ngozi na kansa kutokana na kuvuta vumbi, moshi na harufu inayosemekana kuwa na...
Wadau
Kwa mujibu wa Mkuu wa Magereza Dar es salaam Kamanda Augustino Mboje muda wa kutoka nje ya gereza kwa Babu Seya na Mwanae utakuwa saa 11 jioni ya leo tarehe 09/12/2017 kwani wamekamilisha...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, angalia picha ambayo inaonesha eneo ambalo walishambuliwa ndugu zetu. Mchoro unaona umekaa kama nyoka huo ni mto. Sehemu waliyokaa ni pembe zote za dunia ni...
Nimeshangaa sana leo umeme haujakatika kutwa nzima, nimedokezwa kuwa Tanesco walikuwa wanatoa fursa kwa Watanzania kupitia TBC1 washuhudie akina Masha na wenzake wanavyorudi CCM.
Hakika chama...
Habari wakuu.
Mwaka ukiwa unaelekea mwisho kabisa kuna kauli au misemo iliyovuma zaidi kwa mwaka huu 2017.
Naomba tujikumbushe maneno yaliyotrend zaidi kwenye social media kwa mwaka 2017.
Mimi...