Matumizi ya mafuta ya taa au gesi, Kipi ni nafuu zaidi kutumika?

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,626
Wakuu karibuni sana tuchanganue hili
Eti kati ya kutumia mafuta taa vs gas kipi nafuu??
karibuni tulijadili hili
 
Pumba na mavi ya ng'ombe ni rahisi zaidi..
Very affordable unafanya kufata ngombe walipo pita tu..
 
Mafuta ya taa ni nishati chafu!!......yanachafua mazingira pamoja na afya ya binadamu na ni gali pia!!......don't mention it here!!
 
Back
Top Bottom