Angalia kwa makini halafu utafakari.

Angalia kwa makini halafu utafakari.

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,474
Kama kichwa cha habari kinavyosema, angalia picha ambayo inaonesha eneo ambalo walishambuliwa ndugu zetu. Mchoro unaona umekaa kama nyoka huo ni mto. Sehemu waliyokaa ni pembe zote za dunia ni msitu mtupu jionee mwenyewe.
f758fd40c1dc38f8d8f2a3524431fc71.jpg
1988d9357dc075a8c933b3ddde30fb63.jpg
 
Aisee inatisha
 
sijaelewa kitu
 
The area is beautiful though. Macho yanapendezwa na rangi yake, tatizo yanayofanyika humo.
 
Kwahiyo hapo ndio walikuwa wanapolinda aman. Yan kama sielewi ivi.
 
Back
Top Bottom