Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,701
- 6,936
1. Muda wa alfajiri napunguza mwendo ninapo karibia roundabout, ananiwashia taa kuashiria kuwa niendelee na mwendo mkali,
2. Muda wa jioni kukiwa na giza, nasimama kuruhusu gari inayotaka kuingia njia kuu, ananiwashia taa na kupiga honi mbili mbili, naamua kuweka gari kando ili aende na haraka zake,
3. Nasimama kwenye 'zebra crossing' ili watu wapite, anapiga honi nyingi kwa hasira mithili ya matusi mazito,
4. Muda wa usiku, anawasha taa kubwa/ mwanga mkali/ full lights wakati tupo kwenye foleni inayotembea mwendo wa kinyonga.
Kuanzia namba tano na kuendelea ongeza sifa za huyu dereva endapo wewe ni dereva wa gari.
Je, iweje huyu dereva anamlaumu D. Trumpet kwa kusema sijui kuna shit na hole huku Afrika?