Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,869
- 2,118
Kuna mchezo fulani wa bahati nasibu ulikuwepo hapa Tz mwaka 2000 ukiitwa 'Jackpot Bingo'. Sijui hatma yake ilikuwa vipi kwani mchezo ulitokomea kusikojulikana hadi leo!
Walienda wapi wale wazee?
Walienda wapi wale wazee?