Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Pole na majukumu ndugu zangu.
Wengi huwa wanatamani sana kufika na ama kufanya kazi nchi za magharibi hususani nchi za Bara la Europe. Amerika na Asia. Hap nazungumzia hasa wale Watanzania ambao hata border hawajawahi kuvuka.Ambao hata hapo Kenya hawajawahi toboa!
Utasikia tu 'Ulaya Ulaya...mara napenda kufanya kazi Ulaya'.
Sasa basi tuwekane wazi hapa.
Mshahara wa TZS ngapi kwa mwezi (ukiondoa makato ya kodi nk) utakushawishi wewe mtanzania mwenzangu kufanya kazi Ulaya?
Karibuni