Hivi kwa nini 90 % ya WhatsApp group messages/videos/audios ni mizaha na utani

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,722
Najaribu kuwaza nini Chanzo na hii inaashiria nini? Kama group sio la ujasiliamali tena lenye sheria kali basi mengine yote ni kama jukwaa la udaku na utani. Huu Ni utafiti mdogo wa makundi ya wassap Bila kujali umri wa wahusika.

Je Chanzo ni nini au tupo kwenye utani mode badala ya viwanda mode (kwa Mujibu wa watawala na wanasiasa)
 
Wengi hujiunga kwenye groups za WhatsApp kwa ajili ya kufurahi na wachache hujiunga kwa malengo fulani kama mm magroup yaliyo serious sana aaaah cyataki
 
Back
Top Bottom