Chemsha bongo kama akili yako bado ipo sharp sana. Hamisha chupa moja ya soda ili upate jibu sahihi.....!!!!!

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
NOTE: HILI SWALI LINA JIBU ZAIDI YA MOJA

IMG_20180128_163550.jpg



Pia soma hapa ----->>>>> Ushauri kwa Mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya, Wizara ya michezo, TFF pamoja na BMT
 
1.toa chupa iloyo simama kwenye alama ya jumlisha
ipeleke izibe pengo hapo kwenye sita itakuwa 8-4 =4

2. ondoa chupa ya Kati kwenye 6 izibe pengo pale kwenye 6. itakuwa 0+4=4
 
Back
Top Bottom