tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 22,769
- 31,249
Wanajamvi na watanzania napenda kuwataarifu kuwa katika malipo ya madai ya watumishi kuna uonevu mkubwa sana.Watumishi wengi hawapo sijui ni kwanini?
Mfano ni HALMASHAURI YA MERU,watumishi wengi sana wanadai na walihakiki madai na wakamaliza,kwanini hawapo?wakati wana vithibitisho?Serikali Ni wazi imekuwa ni ya DHULUMA Kwa watumishi na INAWAKANDAMIZA Kwa makusudi.Katika hili kutakuwa na UKWAMISHA wa makusudi katika sekta mbali mbali.
"Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana, taifa limegawanyika kabisa"