Tujifunze kitu hapa!!

Tujifunze kitu hapa!!

nyundo2017

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2017
Posts
1,437
Reaction score
861
e3c19ac8f1714956e6e1b6effde885c1.jpg


Uzinduzi wa jengo wa mtu mweupe ni kitu cha kawaida sana hakuna gharama wala usumbufu wa watu na shamrashamra zisizo na ulazima.

Haya uje kwa uzinduzi wa jengo wa Mtz ni karaha,mbwembwe,watu watahangaishwa,gharama zisizo na lazima,wizi,ufisadi juu,n.k
 
Unamsema yule jamaa aliyeenda kuzindua ..... Badala ya kwenda msibani? Maana nae alitumia ghalama kubwa sana kwenye uzinduzi
 
Back
Top Bottom