.
Na SANGU JOSEPH
.
.
Imekua ni utamaduni wetu wa kawaida kwa Watanzania pamoja na waafrika kwa ujumla kulalamikia watu wanaotusema vibaya au kututendea mambo tusiyoyapenda kuyasikia na yenye...
Wengi wa vijana wa zamani waliosoma mpaka kidato cha sita na wale waliopata kozi mbalimbali za Diploma na shahada walipitia kwanza JKT ili kujenga uzalendo,elimu ya kijeshi kidogo,ukakamavu na...
Jshi la polisi mkoani Mwanza linamshikilia mkazi wa kijiji cha Kanyara wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kwa kukutwa na nyara mbalimbali za serikali, yakiwemo magamba 40 ya mnyama aina ya...
Huko mikoani kwakweli ikifika saa 4 usiku ni nadra sana kukuta watu wakiwa bado wanapilika; ukiachana na wale rafiki zetu wanaoongoza kwa kulipa kodi (walevi)
Lakini watu wengi huanza kulala...
Yaani ukitazama thread nyingi na ata wachagiaji wengi kwenye mada zao utakuta wakina dada au wanawake wanawacoment kwa Negative sana ,
Sijawahi ona jema ata moja la hao wakina dada likisemwa...
Yawezekana ulikuwa na malengo biashara, kilimo, ufugaji na shughuli nyinginezo za kimaendeleo
Ila ukashindwa kuanza au kuendeleza kutokana na sababu mbalimbali kama vile kukosa mtaji, kukatishwa...
Madini ya Tanzanite yenye thamani ya sh bilioni 1.84 yameuzwa kwenye mnada wa tatu wa kimataifa wa madini uliofanyika mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara.
Kamishna wa madini...
Katika ukurasa wa Yericko amelipoti kwamba:
"Leo nimekutana na kaka mkubwa kamanda wa Anga, Mwenyekiti wa Chadema Taifa na Kiongozi wa Upinzani Bunge Mh Freeman Mbowe.
Tumezungumza mengi kwa...
Nauliza hili kwenu mamlaka ya Ewura mnisaidie kwasababu huku Mtongani na kuelekea Ununio bei ya gesi ya mihan mtungi wa kati ni shilingi elfu hamsini sawa na bei ya oryx!
Maeneo ya Mkwajuni...
Ndugu zangu habarini za muda huu.
Ni vyema kufuta mikosi yote iliyotokea kipindi cha nyuma kwa dhamira zetu au dhamira za shetani ili Mungu akitujalia tumalize mwaka salama na tuanze mwaka mpya...
Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki anaongea na Azam TV ikiwa ni mara kwanza kuhojiwa na televisheni tangu aliposhambuliwa kwa risasi mjini Dodoma Septemba 7. Amelazwa kwa zaidi ya miezi 3...
Naamini wanaJF wrote mko salama na kwa wale wagonjwa mungu awaponye upesi. Swali langu kwa wale waliokwisha jenga, ninataka kuezeka nyumba yangu lakini nipo njia panda. Je kuezeka kwa bati ya...
Nimeshangazwa sana na ulinzi ambao kiongozi wa kanisa la Efatha Ministry alivyokuwa na ulinzi wa kutisha. Amekuja hapa songea kwenye msiba wa dadake na walinzi lukuki wenye miwani nyeusi kama wale...
Hello JF,
leo nimewaza,
hivi wakuu wetu wa mikoa wameelimika kwenye course gani?
ningependa kujua watu hawa huwa wanaangaliwa kwa vigezo vipi?
Mie nadhani watendaji wa halimashauri na wakuu wa...
Habari wana jamii mm ni mkazi wa dsm ila ni mwenyeji wa mwanza naulizia ni kampuni gani ya bus ina hadhi ya juu inayo fanya safari zake dsm to mwanza na nauli zao ni ngap?
Sent using Jamii Forums...
Matukio 10, niliyoyafanya 2017 yakaleta athari (impact 2017) katika jamii yangu
1.Ni juu ya madawa ya kulevya siku ,nakumbuka tarehe 4 na tare 5 mwezi wa kwanza nilitenga siku hizi 2,kufanya...
Je, ni halali kutoa fedha kwa ajili ya huduma uliyopewa katika ofisi za umma?
Kuna baadhi ya ofisi(Taasisi) zinatoza fedha kwanza ndiyo ziweze kukuhudumia, hasa pale panapohusu kusainiwa nyaraka...
Hodi jamvini kwa kweli lazima niseme ukweli sauti ya mtangazaji Da Zuu wa cloud radio.
Naipenda sana anapo tangaza natamani aendelee kwa wale mlio karibu naye mfikishieni salam zangu.
Toa hisia...
Wakuu,
Nipo katika foleni kubwa mno karibu na Daraja la Kibamba. Nimeambiwa kuwa kuna ajali mbaya ya magari mawili yaliyogongana. Yasemekana kuna waliopoteza maisha na majeruhi.
More to come...