Ushauri wa Kuezeka Nyumba

Ushauri wa Kuezeka Nyumba

Mungu Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
1,474
Reaction score
1,088
Naamini wanaJF wrote mko salama na kwa wale wagonjwa mungu awaponye upesi. Swali langu kwa wale waliokwisha jenga, ninataka kuezeka nyumba yangu lakini nipo njia panda. Je kuezeka kwa bati ya Simba dumu Geji 28 au kuezeka kwa bati ya Alaf ya rangi Geji 30 kipi Bora? Je ni rangi au ubora wa bati?
 
Hivi Simba dumu si bidhaa ya ALAF?
Kama hao jamaa, basi kwanza ni geji, 28 ni bora kuliko 30, rangi......sijui!
 
Gage 28 ni bora kuliko 30. Pia rangi ni Blown ndo huwa ina himili kuto pauka, kama hubabaishwi na Jina nenda Mwenge kuna kiwanda kipya pale wanatoa bati nzuri na bora kuliko Alaf. Bei yao ya kawaida kuliko Alaf
 
Quality yapo sawa angalia unafuu wa bei! Yote ni zao la kampuni moja hayo ya gauge 30 ni coloured hiyo gauge 28 ni nzito! Pia angalia pitch ya paa kama lina gradient kali tumia gauge30 kama ni kawaida tumia 28.
 
chagua inayokufaa kaka
Ahsanteni kwa ushauri

Kamaupo Dsm
 
Back
Top Bottom