Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nauliza tu mbona hii kamati ya amani mkoa wa Dsm inayojumuisha viongozi wa dini mbalimbali iko kimya ilhali mwenyekiti wao sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?....... Jamani viongozi wa dini...
4 Reactions
124 Replies
13K Views
Wakuu za jmos,daah hii kitu bado inanitafuna had leo,nakumbuka nikiwa chuo,nilikua na date na mtoto m1 mkali sana,yaan alikua tishio pale udbs Udsm,aina ya dem ambae had washkaj wanakwambia dah...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari Naomba mwenye Ufahamu Juu ya mfungwa aliyehukumiwa kifungo kisichozid miaka mitatu anatumia utaratibu upi kupata kifungo cha ...nje . Mfano kama Akina Baziri Mramba na Yona..
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mfanyabiashara Maarufu toka miaka ya 80 Mtui wa Kimory Investment amefariki Dunia. Kimory pia ni mmiliki wa lodges kadhaa jijini Arusha ikiwemo Kimory executive na Florida In.
5 Reactions
224 Replies
36K Views
Nasema haya maajabu kwa sababu hii ni bahati nasibu ila ina maajabu majabu yake ni haya; Kila droo ya Jumapili fuatilia wanaopigiwa simu kushiriki droo lazima jinsia iwe ya kiume na kike, swali...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari ndugu. Aisee, nimemiss sana samaki wa maji chumvi. Nipo Moshi, naomba kama kuna mdau humu www.jamiiforums.com ambaye ni mwaminifu tuongee nae, na tukikubaliana aweze kunisaidia kuninunulia...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna ' Kisa ' kimoja kimetokea hivi punde katika Nyumba jirani na ' Ghettoni ' mwangu ambapo Mama mmoja mwenye Watoto wake wawili wa Kiume na wa Kike ambao kiukweli ni ' Watundu ' katika '...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanasayansi wa Uingereza wanasema kuwa wanatengeneza dawa kwa watu wanaotafunwa na nyoka wenye sumu kali, katika nchi za Afrika kusini ya Sahara. Watafiti katika chuo kikuu cha matibabu ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wana JF, Huenda Tabwe Hiza angepona au angefia hospitalini kama mkewe, watoto wake au mwanafamilia aliyeko pale nyumbani kwake siku ya tukio angekuwa anajua kuendesha gari. Tuwashirikishe watu...
4 Reactions
76 Replies
11K Views
1. TAIPAN WA ARDHINI: Nyoka huyu ni wa kwanza kuwa na sumu kali duniani, anaeishi ardhini tu. aking'ata kitu chochote hutoa sumu kiasa cha milligram110 iliyo na uwezo wa kuua binadamu 100 au...
2 Reactions
115 Replies
107K Views
JF kama jamvi la habari halina uhasama na wewe kamwe. JF ni sehemu tu ya kuwasilisha taarifa, maoni na matukio mbalimbali. Ndani ya JF wapo wastaarabu kama mimi ambao tunatoa hoja na mada bila...
15 Reactions
133 Replies
12K Views
Video ya tukio hili ilinaswa kwenye kamera za ulinzi, ambayo inaonyesha tarehe 30 Januari majambazi wakimvamia mtu akiwa ndio anataka kuingi nyumbani kwake, sijajua ni eno gani
1 Reactions
123 Replies
14K Views
Kila kukicha thamani ya shillingi ya Tanzania inapungua thamani dhidi ya dollar ya Kimarekani. Kulikoni?.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hello JF Mimi naamini hili swala la kutoza kodi kwa kila mtu linatupoteza, hasa kwa wanaotaka kufungua business/viwanda vyao wenyewe. I must admit sijui utaratibu ukoje ila ningependa kuona tax...
1 Reactions
2 Replies
615 Views
Kwanza niwapongeze waliofanya Kazi ya kuhakiki majina ya wanaodai serikali yetu tukufu pamoja na mapungufu yanayoonekana kwenye Kazi hiyo ila ndio ubinadamu wenyewe. Nafikiri kabla ya kuikabidhi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Naomba mwenye Ufahamu Juu ya mfungwa aliyehukumiwa kifungo kisichozid miaka mitatu anatumia utaratibu upi kupata kifungo cha ...nje . Mfano kama Akina Baziri Mramba na Yona.. Mod...
0 Reactions
0 Replies
931 Views
Almost all of the rich kids have rich parents, or are in entertainment industry. However, there are few entrepreneurs. A Top 10 richest kids in the world: 10. Jaylen Bledsoe ($3.5 Million)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Salaam sana wakuu. Kiukweli Geita si mwenyeji kabisa. Ila kama kuna mwana JF tupange kesho tule bata mahali .
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Mwezi February mwaka 1992, Michael Jackson alikuja Tanzania Alitua uwanja wa ndege wa Dar es Salaam na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa wakati huo, hayati Hassan Diria kisha...
2 Reactions
9 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…