Mbona Viongozi wa Dini mkoa wa Dar wamekaa kimya wakati Mwenyekiti wao Sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,373
138,531
Nauliza tu mbona hii kamati ya amani mkoa wa Dsm inayojumuisha viongozi wa dini mbalimbali iko kimya ilhali mwenyekiti wao sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?.......

Jamani viongozi wa dini Umoja ni nguvu na tutoke sasa tushughulike na wale wote wanaombughuzi sheikh Salum wa mkoa wa Dsm.

Nawatakia usiku mnono, ahsante!
 
Mkuu subiri nikueleweshe

1.Kuna bakwata
2.kuna shura ya maimamu au

Hii baraza ya maimamu ndiyo yenye nguvu na ushawishi kwa waislamu wa TZ imesajiliwa lkn haijapewa nguvu na mamlaka kama ya bakwata..kiongozi ni shehe kundecha,katibu ponda

Bakwata ni toothless hawana ushawishi na shehe wa mkoa hicho cheo anakifahamu mwenyewe ,ni toothless hana ushawishi

2012 waislami walipigwa kwenye maandamano sababu ya huyo shehe ,akina ponda walifungwa sabb ya ufisadi wa hao mashehe kuuza Mali ,kujilimbikizia Mali na 0 vision

Fanya research 99% ya waislamu hawamtambui huyo shehe na maimamu wa misikiti wote hawawatambui hao wapo bonded na baraza la maimamu Tz

Ndio maana umeona waislamu wapo kimya na mashehe wote wapo kimya

Huyo alhadi kasemwa sana misikitini miaka nenda rudi mpk wamechoka waislamu wamemchoka sasa saizi kajikoroga kwa mange yy na mufti wata-deal na mangeee

So fahamu hilo kama hulijui ila kama mange angewagusa mashehe ambao wapo nje ya system ya bakwata,baraza la maimamu huhuhu asingevumiliwa na pia hawawezi kushinda kubishana na mange au kupiga kampeni so obvious hawatoweza kukutana na mange

Alhadi kwa waislamu ni kama mrema kwenye siasa
 
Nauliza tu mbona hii kamati ya amani mkoa wa Dsm inayojumuisha viongozi wa dini iko kimya ilhali mwenyekiti wao sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?....... Jamani viongozi wa dini Umoja ni nguvu na tutoke sasa tushughulike na wale wote wanaombughuzi sheikh Salum wa mkoa wa Dsm. Nawatakia usiku mnono, ahsante!
Inst ni dunia nyingne wao awapo insta
 
Nauliza tu mbona hii kamati ya amani mkoa wa Dsm inayojumuisha viongozi wa dini iko kimya ilhali mwenyekiti wao sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?....... Jamani viongozi wa dini Umoja ni nguvu na tutoke sasa tushughulike na wale wote wanaombughuzi sheikh Salum wa mkoa wa Dsm. Nawatakia usiku mnono, ahsante!
Haw viongozi wa dini hawakumtuma afanye maovu hivyo mwache apambane na bomu alilolitengeneza mweyewe
 
Hilo ni tatizo lake binafsi wala si la kidini. Ni vema akaachwa akalishughulikia mwenyewe. Jambo hilo lisihusishwe na Uislamu na Waislamu
Lakini yeye anamshughulikia Mange kwa niaba ya wapenda amani wote Tanzania bara na visiwani!
 
Mkuu subiri nikueleweshe

1.Kuna bakwata
2.kuna shura ya maimamu au

Hii baraza ya maimamu ndiyo yenye nguvu na ushawishi kwa waislamu wa TZ imesajiliwa lkn haijapewa nguvu na mamlaka kama ya bakwata..kiongozi ni shehe kundecha,katibu ponda

Bakwata ni toothless hawana ushawishi na shehe wa mkoa hicho cheo anakifahamu mwenyewe ,ni toothless hana ushawishi

2012 waislami walipigwa kwenye maandamano sababu ya huyo shehe ,akina ponda walifungwa sabb ya ufisadi wa hao mashehe kuuza Mali ,kujilimbikizia Mali na 0 vision

Fanya research 99% ya waislamu hawamtambui huyo shehe na maimamu wa misikiti wote hawawatambui hao wapo bonded na baraza la maimamu Tz

Ndio maana umeona waislamu wapo kimya na mashehe wote wapo kimya

Huyo alhadi kasemwa sana misikitini miaka nenda rudi mpk wamechoka waislamu wamemchoka sasa saizi kajikoroga kwa mange yy na mufti wata-deal na mangeee

So fahamu hilo kama hulijui ila kama mange angewagusa mashehe ambao wapo nje ya system ya bakwata,baraza la maimamu huhuhu asingevumiliwa

Alhadi kwa waislamu ni kama mrema kwenye siasa
Wangefanyaje endapo ingekuwa hivo au mngemfata USA
 
Nauliza tu mbona hii kamati ya amani mkoa wa Dsm inayojumuisha viongozi wa dini iko kimya ilhali mwenyekiti wao sheikh Salum anashambuliwa mitandaoni?....... Jamani viongozi wa dini Umoja ni nguvu na tutoke sasa tushughulike na wale wote wanaombughuzi sheikh Salum wa mkoa wa Dsm. Nawatakia usiku mnono, ahsante!
Anashambuliwa yeye binafsi na siyo dini yake, maana maneno aliyoyasema juu ya mange ni yake binafsi
 
Mkuu subiri nikueleweshe

1.Kuna bakwata
2.kuna shura ya maimamu au

Hii baraza ya maimamu ndiyo yenye nguvu na ushawishi kwa waislamu wa TZ imesajiliwa lkn haijapewa nguvu na mamlaka kama ya bakwata..kiongozi ni shehe kundecha,katibu ponda

Bakwata ni toothless hawana ushawishi na shehe wa mkoa hicho cheo anakifahamu mwenyewe ,ni toothless hana ushawishi

2012 waislami walipigwa kwenye maandamano sababu ya huyo shehe ,akina ponda walifungwa sabb ya ufisadi wa hao mashehe kuuza Mali ,kujilimbikizia Mali na 0 vision

Fanya research 99% ya waislamu hawamtambui huyo shehe na maimamu wa misikiti wote hawawatambui hao wapo bonded na baraza la maimamu Tz

Ndio maana umeona waislamu wapo kimya na mashehe wote wapo kimya

Huyo alhadi kasemwa sana misikitini miaka nenda rudi mpk wamechoka waislamu wamemchoka sasa saizi kajikoroga kwa mange yy na mufti wata-deal na mangeee

So fahamu hilo kama hulijui ila kama mange angewagusa mashehe ambao wapo nje ya system ya bakwata,baraza la maimamu huhuhu asingevumiliwa

Alhadi kwa waislamu ni kama mrema kwenye siasa
Mrema huyu Mwenyekiti wa Parole?!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom