Maajabu ya Tatu Mzuka

Maajabu ya Tatu Mzuka

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
5,269
Reaction score
11,539
Nasema haya maajabu kwa sababu hii ni bahati nasibu ila ina maajabu majabu yake ni haya;

Kila droo ya Jumapili fuatilia wanaopigiwa simu kushiriki droo lazima jinsia iwe ya kiume na kike, swali kwanini iwe hivyo kama hawapangi washindi kwanini wasiwe wanawake wote kwanini isitokee wanaume wote hayo maajabu.

Ajabu jingine washindi wote ni watumiaji wa mtandao wa tigo tu fuatilia yani tuseme hii Tanzania yote mtandao ni tigo tu.

Tutafakari pia wale waliopewa dhamana ya kusimamia hii michezo ya bahati nasibu wajitathimini siyo mpaka mh rais aseme ndio muache fuatilia watanzania tunapigwa wazi wazi.
 
Waache waendelee kuwapiga kwa wale wanaopenda kupigwa,yani hadi sasa hivi mtu aoni kama ni changa la macho.
 
Daaaaa hiyo ya tigo tu ndio wanaoshinda ni kweli kabisa.
Wajinga ndio waliwao.
 
Hivi watu wanaoishi obay au masaki na huko ushuwani kwingine Hivi wanacheza hiyo mchezo

Ova
 
Itabidi anko magu aifanye singida kuwa Las Vegas ya Tz wakachezee huko
 
Afu wanaopigiwa simu mbona kama hawawi surprised. Milioni kumi unakuta mtu anajibu asante basi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeonaeeee...
 
..Tatu Mzuka ina uhusiano na wamiliki wa Clouds Media?...naomba kujua?..
 
Afu wanaopigiwa simu mbona kama hawawi surprised. Milioni kumi unakuta mtu anajibu asante basi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha kuna mmoja wa Mbagala huko alizimia, huwa wananiboa yaani hawashituki
 
Na mtaendelea kuibiwa mpaka mkome, bora ubet maana unaona kabisa kama umeshinda au lah.

[emoji777]Tatu Mzuka
[emoji777]Biko
[emoji115]Wizi Mtupu.
 
Nasema haya maajabu kwa sababu hii ni bahati nasibu ila ina maajabu majabu yake ni haya;

Kila droo ya Jumapili fuatilia wanaopigiwa simu kushiriki droo lazima jinsia iwe ya kiume na kike, swali kwanini iwe hivyo kama hawapangi washindi kwanini wasiwe wanawake wote kwanini isitokee wanaume wote hayo maajabu.

Ajabu jingine washindi wote ni watumiaji wa mtandao wa tigo tu fuatilia yani tuseme hii Tanzania yote mtandao ni tigo tu.

Tutafakari pia wale waliopewa dhamana ya kusimamia hii michezo ya bahati nasibu wajitathimini siyo mpaka mh rais aseme ndio muache fuatilia watanzania tunapigwa wazi wazi.
You have a point man, asante sana kwa taarifa, kumbe mimi wa line ya voda nimekuwa niikipigwa muda wrote, maweeeeee!!!!
 
asilimia 90 kama sio mia kabisa ni watu wa jijini dar
 
Back
Top Bottom