Watanzania zamani tulikua tukisafiri Africa nchi karibu zote zilkua zinatupenda na kutukaribisha vizuri, sikuhizi mambo yamebadilika, je ni wapi tumekosea ? Mana tena Mtanzania Hapati heshima...
mimi niliajiriwa na kampuni y ambayo inahusika na kazi za ulinzi (y sio jina sahihi) na nikasaini mkataba na hio kampuni na kuelewana kulipwa mshahara wa tsh.50,000 kwa mfano,(sio kiasi sahihi)...
Sioni sababu ya kwanini nipongezwe siku ya kuzaliwa.
Kwani nimefanya nini kustahili pongezi? wazazi wangu na Mungu ndio walitenda muujiza. Nilizaliwa bila hata kujua, leo hii mnanipongeza kwa...
DODOSO LA MGENI: JE, VITABU VYA BIBLIA NA QURAN NI MAONO AU KAZI YA FASIHI?
UTANGULIZI:
Makala haya hayana lengo au nia ya kuhubiri dini yoyote bali ni chambuzi na mawazo binafsi hivyo yasitumike...
Katika hali ya kushangaza, mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Ali, mkazi wa Mwananyamala jijini Dar, amekamatwa na polisi baada ya kudaiwa kuunganisha visivyo halali, mitambo ambayo iliwawezesha...
Mwanangu Masunga Maduhu utamaliza chuo kikuu mwaka kesho.
Kumbuka jumla ya ada na matumuzi mengine katika elimu yako ni tsh milion 16,800,000/= .
Utakapopata kazi ya ualimu, utapata Mshahara wa...
Kuwen na huruma, wazazi wanatoa hela zao wanazotafuta kwa shida, nyie mnawakalisha watoto 4 kwenye dawati moja, sasa kuna tofauti gani na kayumba, watoto 7o /80 kwa darasa moja, sasa mwalimu...
Habari za wikiendi?
Naomba kujua kwa wanaojua,kampuni ipi hutoa travel insurance kwa mtu anayetaka kusafiri abroad kwa mwezi mmoja.
Gharama zake zikoje?
Asante ni sana!
Bonjour,
Hey guys nina imani mnaendelea vyema na juhudi za kusaka maisha kivyovyote vile(mpaka kieleweke).
Leo nimekuja na hoja hiyo hapo juu kwa wale wenye uzoefu.Unaweka jina la mkoa...
Mchukue chura then muweke kwenye chombo ambacho ni good conductor of heat kikiwa na maji ndani yake,then anza kuchemsha maji akiwemo na chura ndani yake..!
Kadri temperature inavyo ongezeka chura...
Miji wa Kigoma ujiji hauna huduma ya maji kwa siku tano sasa baada ya mamlaka ya maji safi na taka kukatiwa umeme na hivyo mamlaka hiyo kushindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi hali ambayo...
Huwezi kuwa msomi au hata kama siyo msomi ukakubali kutukanwa na wewe unafurahia yale matusi na kushabikia basi lazima utakuwa punguani fulani wa akili kichwani.
Mtanzania yeyote anamyemshabikia...
Na Florian Kaiza
HUENDA ni jambo lisiloingia akilini kwa hali ya kawaida, pale mwenendo uonekanao ni dhambi kwa Mungu, kutetewa na mtu atambuliwaye na wengi ni Mcha-Mungu!
Hata hivyo, kwa mujibu...
Naomba kuuliza kuhusu ujenzi Wa stand ya mkoa pale mbezi Luis uliishia wapi? Mipango yooote ilikuwa ni bure? Naomba wahusika ambao ni jiji waje hapa watwambie.
JF Naipenda sana ndio maana nimeamua kuanza Eng. Cz, maana mara utasikia umeme wa Stigliers, FOREX n.k watu wanachanganya Lugha humu ndani si Mchezo hii ishu ya FOREX ndo imenipa hasira zaidi...
Mungu ni mwema niko na afya na mwenye nguvu, nakusalimuni nyote popote mlipo, amani iwe nanyi.
Naona mdogo mdogo watu wameanza kustuka kuhusu hizi dini, kwamba michango imekuwa mzigo makanisani...