Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kumekua na imani na theories mbali mbali kuelezea maisha ya mwanadamu baada ya kifo. Kila mtu anaamini ktk chake kutokana na alivyoaminishwa. Huko kwetu uchagani, ipo imani kuwa mtu akifa...
2 Reactions
99 Replies
13K Views
Nimekuwa nasikia jina la huyu jamaa Jidula Mabambasi kwa siku nyingi lakini sijapata jibu sahihi. Naombeni mnijuze huyu jamaa alikuwa ni nani, na pia ni nini kilimuua ghafla miezi michache kabla...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Habarini zenu wakuu. Hili swali nimekuwa nikijiuliza sana, kuna takwimu zinatolewa za umri wa kuishi sitaki kufanya marejeo hapa maana ni kitu kinachofahamika sana. Ninachoomba kufahamishwa...
3 Reactions
77 Replies
6K Views
kama heading inavojieleza wakuu ningependa kujua cv ya muongozaji wa kipindi cha wanawake live na mpigania haki za wanawake joyce kiria
0 Reactions
53 Replies
13K Views
Polisi nchini Cyprus wanasema wanamshikilia raia mmoja wa Israel anayetuhumiwa kufanya biashara ya viungo vya binadam. Moshe Harel amehusishwa kufanya biashara ya figo kwa matariji wa Israel...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali mkoani Iringa zimesababisha kukatishwa ziara ya balozi wa Norway nchini balozi Hanne- Marie Kaarstad ambae ameshindwa kufika kwenye vijiji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za saa hizi wakuu. Wakuu naomba mnitajie idara za maji zinazopatikana hapa dar es salaam na addresses zake nataka nipeleke barua kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo (field)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
NAIBU Waziri wa Mifungo na Uvuvi,Abdallah Ulega ameteketeza zana haramu katika Ziwa Victoria.Baadhi ya zana hizo zipo nyavu za Makila zilizounganishwa 21710 zenye macho madogo, makokolo ya Sangara...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ni mdogo wangu kaajiriwa hivi mwaka Jana October 2017 kada ya afya. Analalamika mpaka leo MISHAHARA hakuna. Hivi kweli sera ya good Governance inatumika vizuri? Miezi minne mtu yuko kijijini hana...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
SHIRIKA la UN linaloshughulikia masuala ya Elimu, UNESCO limetakiwa kutoa elimu ya afya ya uzazi kisiwani Pemba ili kuokoa kizazi kutokana na kukua kwa wimbi la kuingiliana kinyume cha maumbile...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
Habari zenu wanajamvi, Kama kichwa kinavyojieleza ninapenda kumzunguzia vipindi vya tv na redio ambavyo ni live kwa watazamaji au wasikilizaji.kumekuwa na either upotoshaji katika mada ambayo...
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Tuzo ya Wanasayansi Wachanga kwa Dhahira na Salma - Mzalendo.net
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii tabia yake ya kudhalilisha wanawake wenzake ili ajijengee jina,haonekane eti ni mpambanaji....Apate wadhamini kisha atengeneze pesa,Joyce haiache. Anawaanika wanawake kwenye tv,hivi ye hana...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Wao wameanzisha Uzi wao ukielezea Vituko vya mwananyamala Mwisho wa siku wamemalizia na Dar nzima kwa ujumla. Na sisi wa mikoani Tulete vituko na matukio yetu ya Huko, Kama,ubabe...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
The list of bans imposed by Tanzania’s populist president just keeps growing Abdi Latif Dahir January 22, 2018 Tanzania’s populist president John Magufuli strode into office in late 2015...
0 Reactions
0 Replies
430 Views
kama kichwa cha habari kisemavyo kinachotakiwa ni ku update whatsapp yako ,enjoy
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mdororo wa uchumi ni hatari ndugu zangu. Nimejulishwa na mmoja wa wafanyakazi wa redio hiyo kutoka huko Kagera kuwa Redio maarufu iitwayo Bukoba Radio Station (92.5) iliyoko wilaya ya Bukoba...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Kijana mmoja aliyetambulika kwa jina moja la Boniface mkazi wa Mwananyamala kwa Msisiri anashikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni kwa kuiba masanduku ya kuzikia (majeneza) mawili (pichani)...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ndugu, Kheri ya Mwaka mpya, Nilikuwa na ndugu zangu hapa tunarukaruka na kusherekea kuhusu mwaka huu mpya, ila ghafla nikajiwa na wazo kichwani ambalo kiuhalisia limeanza kuniumiza. Je Mtu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu, Habari za majukumu mbali mbali. Kama unamfahamu huyu jamaa njoo inbox kuna ujumbe wake wa muhimu ili uweze kumfikishia. Kuna mahali amesahau kitambulisho chake cha Uraia wa Tanzania Bara...
0 Reactions
3 Replies
875 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…