Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimemaliza Chuo kikuu lakini nimekata tamaa ya maisha Mimi ni kijana(me)wa kitazania.Ni yatima ninaishi na ndugu yangu upande wa mama, kutokana na maisha duni tunayoishi niliamini baada ya...
21 Reactions
226 Replies
30K Views
Basi katika fatilia cheti cha kuzaliwa cha mwanangu nilichokiona kilinistua sana mpaka nikaamua Fanya uchunguzi usio rasmi katika ofisi za Rita mbeya. Nikiwa nasubiliankukabidhiwa cheti...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Samahani jamani, natest mitambo ya application mpya ya jamii forum
1 Reactions
1 Replies
843 Views
Ndugu Watanzania, Kwa pamoja tunahitaji ujasiri, kwa sababu kazi iliyopo mbele yetu ni ngumu na inahitaji sadaka kubwa. Ni lazima tufahamu kwamba mara zote mafanikio makubwa huja tu baada ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Baada ya tathimini ya awali juu ya mwenendo wa uchaguzi wa marudio uliofanyika leo Februari 17, 2018, kwenye majimbo mawili Kinondoni na Siha na Kata 10, Chama kitatoa taarifa rasmi kwa vyombo vya...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida,wazazi wenye watoto wanaosoma katika Shule ya Sekondari ya Wami Dakawa,Wilayani Mvomero, wamelazimishwa kutoa mchango wa kinachodaiwa kuwa ni mishahara ya waalimu...
5 Reactions
151 Replies
9K Views
Nimewahi mara nyingi nyingi kubahatika kukutana na mazoezi ya Mandata ( Watoto wa Tata Nyakoro ) katika Kambi zao mbalimbali hapa Jijini Dar es Salaam na Kuzizoea ila kwa mazoezi '...
16 Reactions
152 Replies
11K Views
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameliagiza Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi kina kuhusu tukio la mauaji ya aliyekuwa Katibu wa CHADEMA Kata ya Hananasif, Daniel John yaliyotokea...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Muda wowote kuanzia sasa matokeo ya Kinondoni yatatangazwa, mawakala na wagombea wameitwa ndani ya ukumbi wa matangazo, mgombea wa CUF na CHADEMA hawaonekani ukumbini, ila mgombea wa CCM yupo...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hakuna neno gumu lililowaumiza wana wa israel kama pale walipomwambia mfalme wao mpya Rehoboamu mwana wa Suleimani mateso waliyoyapata chini ya utawala wa baba yake,naye aliwajibu hivi...
0 Reactions
2 Replies
699 Views
Ilikuonyesha dunia na viongozi kuwa tunapinga na kulaani matukio ya mauaji ya watu wasio na hatia yakiusishwa na polisi na hatua yoyote aichukuliwa ya kumuadhibu watumiwa tususe ushirikiano na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni huyu body guard wa Mtulia. Sasa hivi anahojiwa na waandishi wa habari baada ya kutangazwa shindi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuja mara1_ dar kwa mishe zangu,wananchi hapa kinondoni wanaendelea na shughuli zao kana kwamba hakuna kilichotokea Jana,bt jamii forum na social network zote kuna malalamiko kwa baadhi ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeona niongee hili ni muhimu sana kwa mijadala ya hapa JF.Na nimeona katika mada iliyotolewa kuhusu kukamatwa madawa ya kulevya huko Masaki na watz na hao wanaijeria watano. Baadhi ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika chaguzi hizi za hivi karibuni kumeibuka Tabia mpya,nayo ni kuaminishw kuwa uchaguzi ni vita. Nayakumbuka maneno ya askofu mmoja jina limentoka 1961 tulipigania Uhuru wa wananchi na...
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Grace Mugabe pamoja na Vice Chancellor wa Univ. of Zimbabwe matatani kwa "kupeana" PhD kinyume cha taratibu. Katika hali ya Shithole Africa, unategemea VC angelimkatalia Robert Mugabe akipewa...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Tushawazowea kuiba ni kawaida yenu na kujitangaza mmeshinda sjajua mnachosubiri ni ninii tumeshuhudiaa mlivyoibaa na mlivyotumia Nguvu nyingi mpaka mmegarimu maishaa ya watu Jitangazeni tuu na...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Hapo vip!! Wadau binafsi sipendi nilivyotokea kwenye jamii ya watu weusi japo ngozi yangu sio nyeusi, so I'm yellow not black. Anyway tuje kwenye mada, niwazi ukiangalia watu wanaongoza kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
DAWA YA PENZI [emoji116][emoji116]soma hadi mwisho Palitokea Mwanamke, aliyekuwa ametolewa, akashindwa kuishi vizuri na mumewemumeweZ. Kwa hivyo mumewe hakuridhika naye akaamua atafute mwanamke...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Poleni na majukumu wananchi wenzangu, "by tramp" Swalihapojuu. Nataka kujua watu mlio zaliwa tarehe 29/02 mwaka wowoteule je birthday huwa mnai sherehekea vp?. Au mnasubiri hiyo tarehe kwa miaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…