Vanestrooy
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 259
- 128
Tushawazowea kuiba ni kawaida yenu na kujitangaza mmeshinda
sjajua mnachosubiri ni ninii tumeshuhudiaa mlivyoibaa
na mlivyotumia Nguvu nyingi mpaka mmegarimu maishaa ya watu
Jitangazeni tuu na muingiee mitaani mshangiliee
Mungu Anawaonaa.