TAFAKARI

TAFAKARI

barnabas masoko

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2016
Posts
1,299
Reaction score
660
Katika chaguzi hizi za hivi karibuni kumeibuka Tabia mpya,nayo ni kuaminishw kuwa uchaguzi ni vita.
Nayakumbuka maneno ya askofu mmoja jina limentoka
1961 tulipigania Uhuru wa wananchi na sio serikali,lakini sasa kuna Uhuru wa serikali haupo tena wa wananchi.tunakomoana sana kama vile kuna watu wataishi milele madarakani.
Jiulize mpaka sasa ni watanzania wangapi wanahangaika magerezani kwa kile kinaitwa eti uchochezi.
Maisha yapo kazi sana Leo mungu unaweza mwambia chochote lkn kuna binadam hata kidole hawanyoshewi.
Hivi ni kweli haiwezekani kuona uchaguzi ambao polisi hawatawasulubisha mwanachama wa chama b.imefikia hatua kuwa chama flani ni hatia.tumeona mateso walopata wale watu kwa kupigwa hadharani mwisho tumeskia kifo (pumzika kwa amani kupitia njia uliyoiamin.hakika umepigana na Vita yako imefikia mwisho,naamini imani uliilinda)
Kila kilichawai asisiwa na mwanadamu kiliuawa na mwanadamu
 
Na inavyoonekana wataendelea kuuwa watu mpaka watu wengi wajitambue na tuchukue hatua muafaka
 
Back
Top Bottom