Watanzani tuwe pamoja kwa ili

Watanzani tuwe pamoja kwa ili

kirisha

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2017
Posts
573
Reaction score
663
Ilikuonyesha dunia na viongozi kuwa tunapinga na kulaani matukio ya mauaji ya watu wasio na hatia yakiusishwa na polisi na hatua yoyote aichukuliwa ya kumuadhibu watumiwa tususe ushirikiano na jeshi la polisi paka haki etendeke walio muuwa huyu na yule kada wa chadema wakamatwe na tuone wakiukumiwa bila hivyo na ili litapita kesho au keshokutwa tutasikia mwingine tena sisi tutakuwa kazi ni kuandika r.I.p kwenye mtandao wakati ndugu zetu wengi wanapotea tu napenda kuwasilisha
c63ddc41c1565d8cf7da090c402d2947.jpg
Mungu akupe pumziko la milele dada yangu walai kifo chako kimeniuma siwezi kuelezea
 
Kitengo cha ccm hicho
 
Back
Top Bottom